Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Hahaha hapana sisi kwetu hatuna washiriikina
sawa mkuu ushirikina upo kila sehemu, uchawi unamaanisha vitu vingi,roho mbaya ,wivu n.k .kwa hiyo usiamini ndugu moja kwa moja ,chunguza kwanza ujiridhishe
 
Kama mnapendana endeleeni na mapenzi yenu, vaa tinted endelea kupendana.....

Hakuna mkamilifu.
 
Mapenzi ni upofu eti mpka mpigwe na kitu kizito ndio mtaskia.Mkuu aliyekushauri ni kaka yako na Sio crush wako,ex wako au mpenz wako.So kuja kuuliza humu badala ya kuipiga chini hiyo njemba ukiamini sisi tunakujua au kumjua mpenzi wako zaidi ya kaka yako inaonyesha kashakuloga.Hapo subiria tukio
 
Huyo mchumba had muoane vitenge vyetu vya sare vishapauka 😀😀😀😀Hebu pambana ndugu
 
Mapenzi Upofu hapa Tunaweza kumshauri vizuri ukashangaa Meseji zetu akaenda kumuonyesha Mpenzi wake,

Mwishowe Watu wa Jamii Forum tukaonekana Wapambanishi, We dada fanya Unaloona Sahihi likkukuta jambo badae Utatuletea Uzi, usijali maan Server ina storage ya Kutosha.
 
Aiseeh kumbe nimepitwa namna hii... mwisho wa dunia ndio wapi?
 
Mapenzi ni upofu eti mpka mpigwe na kitu kizito ndio mtaskia.Mkuu aliyekushauri ni kaka yako na Sio crush wako,ex wako au mpenz wako.So kuja kuuliza humu badala ya kuipiga chini hiyo njemba ukiamini sisi tunakujua au kumjua mpenzi wako zaidi ya kaka yako inaonyesha kashakuloga.Hapo subiria tukio

siwezi kumuacha kwa hizo sababu labdaa itokee nikajua zingine
 
Yawezekana anamfaham kiundani sasa komaa yatakayokukuta niko paleeee niite mbwa
 
Mapenzi Upofu hapa Tunaweza kumshauri vizuri ukashangaa Meseji zetu akaenda kumuonyesha Mpenzi wake,

Mwishowe Watu wa Jamii Forum tukaonekana Wapambanishi, We dada fanya Unaloona Sahihi likkukuta jambo badae Utatuletea Uzi, usijali maan Server ina storage ya Kutosha.

Hahaha sijawa kipofu hivyo
 
Usije kuwa kama.mfalme mswati alioa fem rapper kumbe alikuwa mchumba wake na mtoto wake
 
Sawa sijakataa kufutaa ushaurii wake ila sasa kuwe na sababu za msingi ili hata home wanaponiuliza niwe na la kumjibu

Hivi mtu tu aniambie achana na huyo kaka kwasababu kabila Lao ni wachawi au wamalaya nitamuelewaje sasa
Kuna sheria za kiume kwa mwanaume mwenziwe hawezi kuziweka wazi kwako anajua akisema utakwenda kumwabia mpenzi wako.

Hao ni wana jeshi wanajuana walipokuwa vitani wakichakaza mabinti za watu hao, sasa bro wako kaona akuokowe kutoka kwa kamanda wake.
 
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”

Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk sasa..

Sikujua kuwa mpenzi wangu anafahamiana na kaka yangu mpk siku nilipompost status nikimuwish happy birthday..

Kaka yangu alinifungukia kuwa wanafahamiana na wamepiga kozi wote kiufupi wanafanya kazi zinazofanana na wanajuana mpk vyumba wanavyoishi japo hawana urafiki ni ile wakikutana ndio wanakuwa marafiki..

Mpk Kaka yangu anakuja kufahamu nina mahusiano nae ilichukua mwaka mzima kumfahamu na sikumwambia kuwa tuna mahusiano nilimwambia tu marafiki

Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa

Sababu mpk sasa nilioiona kubwa aliyoniambia ni kuwa

  • kabila la watu wa mwisho wa dunia sio kabila la kuolewa nao ( yeye ameishi sana huko so ana wafahamu)
  • Ni washirikinaa sanaa ( anaamini kwamba huyu mpnz wangu kanipata kwa madawa) alinipa kielelezo Kuna rafiki yake mwingine wa kabila hilo alimpata mwanamke kwa madawa matokeo wamezaa watoto wawili mwanamke akili imefunguka kakimbiaa

Kubwa la Leo ambalo limenifanya niombe ushaurii ni hili

Amesema kuwa huyu mpzn wangu alishawahi kutoa posa mahali halafu akahairisha kuoa.. na alimpa ujauzito huyo mwanamke ila aliukataa akasema atoe ujauzito,, mwanamke alipokataa kutoa mimba alimtumia hawara yake ampelekee Zawadi ya juice kumbe ndani ya juice kaweka dawa ya kutoa mimba

Hiyo story bro anadai kahadithiwa na ex wa mpnz wangu

Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona baya kwake

Ushaurii wenu wakuu
Mmeoana

Umeolewa

Me ndiye Muoaji, mmeoana kivipi nakati anayetoa mahali na kusimamia zoezi zima la harusi ni Me?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuoa kuolewa usipende sana kuziamini akili zako.
Sababu wewe ni mfungwa kupitia ngono huwezi jua Tabia ya mwenzao wako kuliko wasio na ushirika nae kingono.
Uteja wa ngono uficha Tabia mbaya ya mtu,majuto ndoani
Mungu hakukosea kabisa kuweka mfumo wa kutokuduu kabla ya Watu kuoa/kuolewa (Wachumba).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sheria za kiume kwa mwanaume mwenziwe hawezi kuziweka wazi kwako anajua akisema utakwenda kumwabia mpenzi wako.

Hao ni wana jeshi wanajuana walipokuwa vitani wakichakaza mabinti za watu hao, sasa bro wako kaona akuokowe kutoka kwa kamanda wake.

Tumeshapendana sisi yeye mbona wake tulimwambia nyonya damu hakumuachaa people change people die
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom