HighSchool
Member
- Aug 6, 2022
- 87
- 91
- Thread starter
- #41
Kwa kuwa unapora mchumba wa mtu tunategemea siku moja utaleta uzi kuwa amerudiana na ex wake wakati huo umeshamwoa...
Hapana mkuu nafikiria kuleta kadi za harusi tu kwenu bhas
Kwa kuwa unapora mchumba wa mtu tunategemea siku moja utaleta uzi kuwa amerudiana na ex wake wakati huo umeshamwoa...
Hayanaga formula,
Sikiliza moyo wako unakuambia nini.
Kuna muda ukisoma thread hapa unajiona kama unacheki bongo movie.....kuna scene humu zinafanana kwa kila mtu.
Wanajf kwenye ofisi zenu mnakuaga na vismati demu anakataa wooote anakubali mwanajf tu. Wakulungwa nyie ni kwere
Hahaha mkuu sorry una umri gani?
Ni Kawaida Sana kwa penz jipya kumzuzua yeyote kat ya wawili wapendanao kwasababu wote wanatumia kichwa Cha chini kuwaza badala ya Cha juu
Jiulize kwann mwamba mwenzio amekubali kukaa mbali je wewe utaweza?
Tujifunze kufanya uchunguz kwa wanawake wetu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu
Naimani wote wazima mungu anatupigania
Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.
Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.
Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.
Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa
Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.
Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.
Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.
Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .
Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now
Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.
Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa
Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Sasa huyo si alikuwa mchumba tu? Ndio maana kanisani huwa unaulizwa fulani bin fulani unakubali kuolewa na fulani?
Ikitokea mmojawapo akakataa huwa ndoa haifungwi. Mrudishieni mchizi posa yake halafu endeleeni na utaratibu wenu.
Kionjo: Padri,Lilian Seuya
Lilian,Abee
Padri, unakubali kuolewa na Oscar
Vumilia?
Lilian; Hapana sikubali
Kanisa zima watu ahaaaaa!
Oscar na ndugeze ndukiii!!!
Vipi lakini umemuelewa kwenye mambo yale ya kikubwa,,,Mbususu Iko vyema uhakika au
Kijana tulia.. nenda taratibu usije pigwa na kitu kizito ukarudi unalia hapa
Ngoja nkalale
Kwanza pole sana.Habari wakuu
Naimani wote wazima mungu anatupigania
Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.
Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.
Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.
Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa
Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.
Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.
Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.
Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .
Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now
Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.
Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa
Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Ujasemasiku alivyokuja kwako ulimla au Seema Hapo Kwanza ndipo nikushauriHabari wakuu

Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza
Kama kweli una nia ya kumchukua jumla ni swala la yeye akakutambulishe kwa wazazi wake, nawe pia fanya jitihada wazazi wako wamtambue na muanze kufuata taratibu zetu za kiafrika ili kufanikisha ndoa mapema iwezekanavyo.Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa
Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Kutolewa kwa posa sio kizuzi, wazazi wake /au wa pande zote mbili watalimaza hilo, sio jukumu lako.Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa
Kabisa. Anakuwa mke/mume baada ya kutamka ndiyo ninakubali tofauti na hapo lolote linaweza kutokea hata kusitisha ndoa iwapo upande mmoja haukuridhika na mwenzake.Nikwamba nikweli kumbe mwanamke akitolewa maali na asipoolewa bado ni mchumba sio mke