Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Habari wakuu

Naimani wote wazima Mungu anatupigania

Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.

Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.

Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.

Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa

Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.

Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.

Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.

Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .

Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now

Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.

Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa

Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Usijaribu huo uninga mwanawane....mwanaume mwenzio sio mjinga. Huyo wee piga tuu...yaani wee pelekea moto tuu ila usiweke kambi
 
Mmmh, mkuu me nikushauri kitu, Usioe kwa kukurupuka hat kama demu anakuonyesha kukupenda kwa kiasi gani utakuja kuleta uzi wa kulia hapa mwanamke sio wa kushitukiza labda muwe mmedumu kwenye mahusiano kwa mda wa miaka zaidi ya 2, yaani ulisha jiridhisha kuwa madhaifu yake unayamudu naye madhaifu yako anayamudu,

Huyo anaogojwa na pepo la tamaa kama ilivyo kwa wanaume tukiona mwanamke mwenye tako ila mweusi tutashoboka na kumwacha kimvao mbao harafu akitokea mwenye tako harafu mweupe utamuona huyu mweusi hafai,

Ndoa huwa ni urafiki, yaani kuishi na mwanamke na kumchukuria kama rafiki yako, ushawahi kuwa na msela wako ukitoka kugonga demu hata kama umepiga show mbovu basi utamsimlia.

Basi hata ndoa ni hivo hivo, chukua nafasi ya kujivuruga kwake jifanye kumpenda mdada hapo ofisini uone huyo unayemuita wife material atachukua uamzi gani akiendelea kukupenda basi huyo chukua fasi tena uniite niwe mshenga.
Kukaa mda mwingi kwenye mahusiano sio kwamba ndo mtalast kwenye ndoa,wapo watu wanadate miezi michache na wanadumu kwenye ndoa na wapo wanadate mda mrefu na hawadumu kwenye ndoa,cha muhimu ni mnaonana mara ngapi kwa wiki au miezi ili mfahamiane zaidi!kuna watu daily wako pamoja so hawa wakishamaliza miezi hata 6 wanakua washajuana sana na kuna watu wanaonana kwa mwezi mara 1 hawa hata wakidate miaka hawataweza kufahamiana zaid as hawaspend mda mwingi pamoja!
 
Kama hawajafunga ndoa na mchizi Sasa tatizo Nini? Si umwambie ukweli kuwa unataka kumuoa na uko serious akupe taratibu za kupeleka mshenga kwao wakati huo nae akivunja uchumba au urafiki na mchizi.

Ila nikupe akili ambayo pengine huijui kama angalizo, wanawake wote wanaoamua kutoka nje ya mahusiano Yao huwa wanaitumia hiyo sababu kuwa hawako sawa na wapenzi wao. Siku akija mfanyakazi mwingine smart hapo ofisini Kaa ujue tu nae ataambiwa hivyo hivyo kukuhusu wewe. Ni angalizo tu nakupa kama kaka Yako niliyeona mengi. Achana na hizo hadithi sijui wafanyakazi wa kiume wote walimtokea akawakataa. Usizipe nafasi kabisa akilini mwako
Safi sana Kambaku umemshauri vyema sana,asipokuelewa na hapo basi atakua ana hitaji kitu kingine zaidi ya ushauri.
 
Habari wakuu

Naimani wote wazima Mungu anatupigania

Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.

Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.

Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.

Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa

Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.

Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.

Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.

Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .

Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now

Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.

Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa

Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Oya ukiona choo ndotoni usikitumie,ni MTEGO huo.
 
Una uhaliknawewe Ni mwanaume?
 
Tupe matokeo ya mechi yenu kwanza, tuanzie hapo tukupe ushauri mubashara
 
Tatua matatizo yako ya wengine waachie wenyewe, kama umemwelewa punguza danadana ili ashughulike na stress zako unaacha nafasi kuubwa mpaka anamkumbuka jamaa.
 
Tulia dogo utavimba manundu
JamiiForums2047296491.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kukaa mda mwingi kwenye mahusiano sio kwamba ndo mtalast kwenye ndoa,wapo watu wanadate miezi michache na wanadumu kwenye ndoa na wapo wanadate mda mrefu na hawadumu kwenye ndoa,cha muhimu ni mnaonana mara ngapi kwa wiki au miezi ili mfahamiane zaidi!kuna watu daily wako pamoja so hawa wakishamaliza miezi hata 6 wanakua washajuana sana na kuna watu wanaonana kwa mwezi mara 1 hawa hata wakidate miaka hawataweza kufahamiana zaid as hawaspend mda mwingi pamoja!
Ila pia kumzoe mtu huwa inahitaji mda zaidi, kunatabia za kufake ambazo huwezi kuzificha kwa mda wa miaka au miezi mingi,
 
Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa

Kuna mwana Jeifu aliwahi kusema TIINYA AGATINYA AB'ANDI (Ogopa wanachokiogopa na wengine)Huyo aliyetoa hadi Posa usimuone Mjinga,,

RELAX,, acha kiherehere cha kukimbilia ndoa...Ishi na huyo Binti kwa kipindi fulani nina hakika utajifunza kitu.... Hapo Penzi ndio kwanza Jipya,,, hamna Akili yoyote mnayotumia....zinazotumika ni Hisia tu....

Relax,,,chakata ki-professional,,,izoeeee then ukirejea katika Akili yako ndio ufanye maamuzi...
 
Habari wakuu

Naimani wote wazima Mungu anatupigania

Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.

Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.

Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.

Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa

Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.

Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.

Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.

Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .

Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now

Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.

Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa

Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke
Akili imestuck???kwani ukimwambia unataka kumuoa kuna shida gani?
 
Back
Top Bottom