Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Unataka ubebe mchumba mtu kwa nini usitafute wako? Yakikukuta uanze kulia lia hapa kumbe shida ni wewe umevamia mapenzi ya watu.
 
Kuna muda ukisoma thread hapa unajiona kama unacheki bongo movie.....kuna scene humu zinafanana kwa kila mtu.

Wanajf kwenye ofisi zenu mnakuaga na vismati demu anakataa wooote anakubali mwanajf tu. Wakulungwa nyie ni kwere
[emoji2][emoji2] na wote wana mademu wakali, viuno nyigu [emoji23]
 
nipende kukumbusha kuwa ameshatolewa mahari hujui moment alizopitia na huyo mwamba na unaweza kuoa vizur tu ila huyo mwamba lazima akuchapie hata ingekua mm lazma nimele huyo dem.... alaf punguza kunieleza oohh wametongoza wamekataliwa cjui yuko smart [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamnaga dem smart dogo na usije ukadanganyika kwa kipimo cha kua kawakatalia wanaume ofisini jifunze
Umepiga pabayaa mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weee hapo ni namba tatu yaani jamaa yake majamaa ya ofisini halafu fala fulani boya kaja juzi.
Oa tu mke wetu
 
Kwanza pole sana.
Nijibu maswali haya,1st hata kama.kakwambia ananmtu wake kashamtolea mahari je ww kipi kimekufanya uamini?,inafikia stage mpaka mtu kukubali kupokea mahari mmmh,
2nd anawaza kwamba atakwambia hana hela ya kumrudishia kuhusu ile mahari akakutaka ww umpe ili alipe,hilo liweke akilini.
3rd hata ww anaweza kukuacha mkipishana tu na sio kutafuta suluhisho.
Take care wajinga ndo waliwao.

Daah umeongea kitu kikubwa sana mkuu nimekuelewa sana
 
nipende kukumbusha kuwa ameshatolewa mahari hujui moment alizopitia na huyo mwamba na unaweza kuoa vizur tu ila huyo mwamba lazima akuchapie hata ingekua mm lazma nimele huyo dem.... alaf punguza kunieleza oohh wametongoza wamekataliwa cjui yuko smart [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamnaga dem smart dogo na usije ukadanganyika kwa kipimo cha kua kawakatalia wanaume ofisini jifunze

Sawa mkuu shukrani
 
Mwanamke ambaye umefahamiana nae kwa muda mfupi kitu chochote anachokwambia usiamini kwa haraka mkuu hata kama umetokea kumpenda sana, chunguza ikiwezekana fanya cross examination kama zile wanazofanya kina Kibatala mahakamani. Ni mapema sana kwa muda huo mfupi kufikia hatua ya wewe kutaka ndoa mkuu. Kwenye ndoa mwanaume ndiwe unaweza ukawa winner au looser.
Mwisho tumia akili kuliko moyo.

Sawa mkuu nimekuelewa
 
Kama kweli una nia ya kumchukua jumla ni swala la yeye akakutambulishe kwa wazazi wake, nawe pia fanya jitihada wazazi wako wamtambue na muanze kufuata taratibu zetu za kiafrika ili kufanikisha ndoa mapema iwezekanavyo.

Sawa mkuu nimekuelewa sana
 
Habari wakuu

Naimani wote wazima mungu anatupigania

Iko hivi Nimeletwa mkoani kikazi baada ya kufika nilipokelewa na workmate wenzangu ofisi na kazi zikaendelea.

Sasa kuna Pisi moja ya kwenda sana nimeikuta hapa tunafanya nayo kazi lakini huwa sio muongeaji kabsa ndio alivyo lakini toka nimefika hapa huyu dada ni mchapakazi sana muda mwingi yuko bize hapa ofisini lakini ni kwa muda mfupi focus yake ya kufanya kazi ilipungua sana.

Kuna kitu nilianza kujiuliza shida nini coz tunafanya kazi ofisi moja lakini nilikuwa kila wakati namfumania akiwa ananiangalia sana, ikaenda hii hali mpaka ikafika stage wafanyakazi wengine wakaligundua hilo mpaka baadhi wakikaa na mimi tukipiga stori wanaliongelea hilo jambo.

Kuna siku nikasema ngoja nijitoe akili nikamfuata kwenye meza yake nikaanza kupiga nae stori, kiukweli alifurahi sana kipindi namuacha pale nikamuomba namba akakubali akanipa

Basi tukaanza kuwasilia mdogo mdogo siku zinakwenda kuna siku nikamuomba nimtoe dinner kweli alikubali bila hata kuguna kweli na alikuja fresh lakini sasa pale ofisini wakaanza kunishangaa kuwa imekuaje kwa muda mfupi yule dada kanizoea sio mtu wa mambo mengi na huwa yuko streight na hapendagi mazoea na watu japokuwa ni mpole na yupo loyalty.

Basi mambo yakaendelea kila siku mwanamke akawa anazidi kuwa happy akiniona tu nimefika ofisi na hata nikichelewa akawa anapiga simu na kuuliza niko wapi. Basi maisha yakaenda japo watu wakawa wanashangaa sana imekuaje kwani.

Basi kuna siku tulikutana nikamtongoza japo alikuwa anaonesha sio mwepesi fulani lakini aliniambia ana changamoto tu fulani hivi ataniambia, nikakaza uzi na akakubali fresh hapo hapo na kesho yake tulivotoka ofisini akahitaji twende wote ninapoishi nikamchukua tukaenda na alijikuta tunalala mpaka kesho yake kwa kuwa siku inayofuata ilikuwa weekend.

Sasa ofisini wakawa wanazidi kushangaa imekuaje sasa bhana nikaja kupata majibu kamili kumbe huyo dada wafanyakazi wapale ofisini karibia wote wa kiume walikuwa wanamfukuzia lakini aliwachomolea wote ndio maana walikuwa wanashangaa kwangu imekuaje, bhasi maisha yakaenda .

Basi sasa kuna siku akawa hayuko sawa nikamuuliza nini shida ndio akaanza kunielezea ile changamoto kuwa ni kweli ana mwanaume lakini hawajaoana kabisa na hawajazaa na hadi kwao wanamjua na alishapeleka mpaka posa na kila kitu lakini kiukweli hawako sawa kabsa na anasema hana furaha kabisa na maisha anayoishi na jamaa na ilifikia stage kila mtu anakaa kwake mpaka now

Duuh nikamtuliza na kumuweka sawa na kumwambia asijali kila kitu kitakuwa sawa.

Sasa ninachokihitaji wakuu huyu mwanamke mimi nataka kumchukua mazima na ikiwezekana kumuoa kabisa

Sasa sielewe nifanye nini akili imestuck lakini yote kwa yote ametokea kuniamini sana huyu mwanamke

Kabla hujafanya maamuzi ya kuweka ndani mkapime kwanza huenda anashida ya kudaka mimba ndio kinachompa mawazo huenda.
 
Hio inaitwa first love, ukioa utakuwa umekurupuka. Usioe mtu ambae amjawahi gombana nae Ili ujue tabia zake za uvumilivu.
Ndoa ni uvumilivu.
 
Mahari sio ndoa , mwanamke/mwanaume yeyeto hata kama anaishi na mtu kama Hakuna mkataba au ushahidi wa cheti, huyo yupo HURU.
 
Back
Top Bottom