Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

Nifanye nini juu ya huyu mwanamke?

eeeh naona alishatolewa mpaka mahariii.. mahari INARUDISHWAA MZEEE kama yupo serious ajipange akamtolee mahari ila demu awe tayari kumkana jamaa kwa wazazi wake kuwa hamtakii tenaa so mahari irudishwe japo huwaga haiishi vizuri mwisho wake
Mwisho wake unaweza kuwa upi chief ?
 
Kuna muda ukisoma thread hapa unajiona kama unacheki bongo movie.....kuna scene humu zinafanana kwa kila mtu.

Wanajf kwenye ofisi zenu mnakuaga na vismati demu anakataa wooote anakubali mwanajf tu. Wakulungwa nyie ni kwere
 
Hahaha mkuu sorry una umri gani?

Ni Kawaida Sana kwa penz jipya kumzuzua yeyote kat ya wawili wapendanao kwasababu wote wanatumia kichwa Cha chini kuwaza badala ya Cha juu

Jiulize kwann mwamba mwenzio amekubali kukaa mbali je wewe utaweza?

Tujifunze kufanya uchunguz kwa wanawake wetu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna muda ukisoma thread hapa unajiona kama unacheki bongo movie.....kuna scene humu zinafanana kwa kila mtu.

Wanajf kwenye ofisi zenu mnakuaga na vismati demu anakataa wooote anakubali mwanajf tu. Wakulungwa nyie ni kwere
Dada tusomage tu hizi stori ukweli wana jf tunajiona class fulani la watu wenye uelewa na tupo smart

Wakati ukweli n 10% tu ndio wenye sifa hizo wengi pangu pakavu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyo si alikuwa mchumba tu? Ndio maana kanisani huwa unaulizwa fulani bin fulani unakubali kuolewa na fulani?

Ikitokea mmojawapo akakataa huwa ndoa haifungwi. Mrudishieni mchizi posa yake halafu endeleeni na utaratibu wenu.

Kionjo: Padri,Lilian Seuya
Lilian,Abee

Padri, unakubali kuolewa na Oscar
Vumilia?

Lilian; Hapana sikubali

Kanisa zima watu ahaaaaa!

Oscar na ndugeze ndukiii!!!
 
Vipi lakini umemuelewa kwenye mambo yale ya kikubwa,,,Mbususu Iko vyema uhakika au
 
H
Kuna muda ukisoma thread hapa unajiona kama unacheki bongo movie.....kuna scene humu zinafanana kwa kila mtu.

Wanajf kwenye ofisi zenu mnakuaga na vismati demu anakataa wooote anakubali mwanajf tu. Wakulungwa nyie ni kwere
Hakuna mwanajf aliyekataliwa😂
 
eeeh naona alishatolewa mpaka mahariii.. mahari INARUDISHWAA MZEEE kama yupo serious ajipange akamtolee mahari ila demu awe tayari kumkana jamaa kwa wazazi wake kuwa hamtakii tenaa so mahari irudishwe japo huwaga haiishi vizuri mwisho wake

Ndoicho mkuu mala nyingi huwa hayaishi vizur kama unavosema
 
Hilo ni shamba lenye mgogoro, huyo amejiegesha kwako kutoa stress

Umejiuliza kwann ww? Hata kma ana ugomvi na mtu wake kwann wasisuluhishe? Kwamba hata siku ikitokea mmegombana suluhisho lake atakimbia tatizo kutafuta bwana mpya?

Ushauri wangu akueleze kwa kina kuna ugomvi gani baina yake na mtu wake aliyetoa posa? Ili ujue uzito wa ugomvi, hii itakupa muongozo uendelee nae au usitishe safari

Sawa mkuu nimekupata vyema sana mungu akubariki nitafanyia kazi wazolako
 
mmmh, mkuu me nikushauri kitu, Usioe kwa kukurupuka hat kama demu anakuonyesha kukupenda kwa kiasi gani utakuja kuleta uzi wa kulia hapa,
mwanamke sio wa kushitukiza labda muwe mmedumu kwenye mahusiano kwa mda wa miaka zaidi ya 2, yaani ulisha jiridhisha kuwa madhaifu yake unayamudu naye madhaifu yako anayamudu,

Huyo anaogojwa na pepo la tamaa kama ilivyo kwa wanaume tukiona mwanamke mwenye tako ila mweusi tutashoboka na kumwacha kimvao mbao
harafu akitokea mwenye tako harafu mweupe utamuona huyu mweusi hafai,

Ndoa huwa ni urafiki, yaani kuishi na mwanamke na kumchukuria kama rafiki yako, ushawahi kuwa na msela wako ukitoka kugonga demu hata kama umepiga show mbovu basi utamsimlia,
basi hata ndoa ni hivo hivo, chukua nafasi ya kujivuruga kwake jifanye kumpenda mdada hapo ofisini uone huyo unayemuita wife material atachukua uamzi gani
akiendelea kukupenda basi huyo chukua fasi tena uniite niwe mshenga.

Sawa sawa mkuu uko sahihi kwa ushauri wako acha nifate hilo
 
Back
Top Bottom