baba mwenyekiti asalam aleykum nakukaribisha futari na daku
hivi kwanza hayo ma six sijui nini ndo makitu gani mkuu?

Madhara ya mulugo hayaSio six parts kaka....ni six packs!
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Kama bado anakula kwa shikamoo basi atoke huko awe anakula kwake tuu.
Nakwambia "six parts" zitakuja zaidi ya sita mpaka kifuani.
![]()
Hahahaha. Yaani mnaniudhi! Mi nemuna bwana aaagh
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!