Qcartertz OD
Member
- Apr 21, 2013
- 11
- 3
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
six parts kwa vipi au unamaanisha uwe na mamisuli badala ya manyama? basi umekosea spelling?
Kwani sasa una "parts" ngapi tumboni?
Ungemuuliza ana kwake au anakula kwa shikamoo?
Kama unazitaka hizo "six parts" LOL! kwaajili ya kuwa na afya njema hapo sawa ila kama unataka uwe na hizo "six parts" ili uwavutie warembo utapoteza muda wako bure ni bora utafute hela.
Mi nauza... hata seven parts zipo...
Kama unazitaka hizo "six parts" LOL! kwaajili ya kuwa na afya njema hapo sawa ila kama unataka uwe na hizo "six parts" ili uwavutie warembo utapoteza muda wako bure ni bora utafute hela.
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Sio six parts kaka....ni six packs!Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Ungemuuliza ana kwake au anakula kwa shikamoo?
ukishatengeneza six parts kisha ukafikisha 40's nitafute.
Wanaume wenye hizo wakizeeka utamu unakuwa mara 4 ya kijana.