Kwani nyama siyo mamisuli?
Pili, kaa sakafuni (not kwenye sofa) kaa kitako/keti, nyoosha miguu, fanya kama unataka kulala but mgongo usifike chini, ukikaa ktk pozi niliyoikusudia utajikuta miguu yako kama inataka kunyanyuka juu, hakikisha miguu inabaki chini, hata kama itanyanyuka inch 1 au 2 sio tatizo but isizidi hapo. Fanya hivyo at least nusu saa au saa moja, hata ukizisha no problem, unaweza kufanya na kupumzika kidoogo, kwa siku at least mara mbili (asubui na jioni/usiku) hata ukifanya zaid ya mara 2 kwa siku ni bora zaidi. Jitihada zako ndio zitakufanya ukate tumbo fasta. Ndani ya mwezi m1 utaanza kuona mabadiliko.
Refers, usile sana meeeeeeeeen!
Kila la heri.
Msaidieni jamani.
Mkuu mwenzako anakula twisheni ya kujislesi into six parts.....
Twisheni za kudanganyana hizo.
Huwezi kujislesi into "six parts" kwa kufanya sit ups au crunches pekee.
Mazoezi ya kulengeshea kama kuua ndege kwa manati hayatasaidia.
Imagine mtu kama huyo hapo chini atafanya sit ups au crunches ngapi kuslesi hilo tumbo into "six parts"?
![]()
Hebu kwanza au ulitaka kuandika six packs??kama ni six parts unawezapata kwene muwa
Ila kama six packs fanya zoezi upunguze futa hilo
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Madhara ya mulugo haya
hahahhaa,we jamaa umenifurahisha sana na swali lako,safi!!atakuwa anamoja huyoKwani sasa una "parts" ngapi tumboni?
Huu si mkia wa scorpion kweli?
Eti wana jamii nifanye mazoezi gani au mlo gan nami niwe na six parts tumboni?maana huwa napenda kuwa nazo but sijui ni2mie mbinu gani kwa anayejua anielekeze!
Lugha kwanza ... six "parts" au packs.
ulitaka kuandika six packs?? Ila kama six packs fanya zoezi
Ni six parts au six packs??
wewe six packs ....
Sio six parts kaka....ni six packs!
Ha ha ha! Kweli JF kuna watu na viatu. Mbavu zangu, six pack hii ya ukonga inaanzia kwenye mashavujitahidi ufanye kosa la jinai uperekwe ukonga six pack itakuja yenyewe