๐๐Sawa kijana siku yakikukuta ukumbuke na ushauri wetu humuWivu ,Mungu akipanda hakuna anaeweza pangua๐๐
Sawa Wana jamvi๐๐๐๐Sawa kijana siku yakikukuta ukumbuke na ushauri wetu humu
Nishajitetea lakinKwa huo muandiko sidhani kama kuna future hapo
Mkuu mbona unazungumza kwa hisia sana??๐๐๐Unaonekana limbukeni wa wanawake! Alafu Ukute ndo kwanza unakaa kwenye chumba kimoja ila unaendekeza hisia za mapenzi! Ungekuwa una hela unadhani baba yake angekohoa??
Mpeni moyo kijana, ndo kwanza amebalehe mwaka juzi๐.Kwa huo muandiko sidhani kama kuna future hapo
Sasa mtoto wa miaka 20 na ndoa wapi na wapi??Nishajitetea lakin
Linda mgongo wako hali ni mbayaMpeni moyo kijana, ndo kwanza amebalehe mwaka juzi๐.
Ukweli nao ni mzuri sana kuujuaMpeni moyo kijana, ndo kwanza amebalehe mwaka juzi๐.
Sijasema nataka kuoa kipindi hiki labda kama umesoma juu juuSasa mtoto wa miaka 20 na ndoa wapi na wapi??
Point yangu ni kuwa ni mapema mno kwa nyie kuanza kuzungumzia ndoa sijui usimpotezeSijasema nataka kuoa kipindi hiki labda kama umesoma juu juu
Sawa mkuu nimekuelewa ngoja niendelee kula mema ya nchi๐๐Point yangu ni kuwa ni mapema mno kwa nyie kuanza kuzungumzia ndoa sijui usimpoteze
Furahia ujana wako baadae sana ukishaishi ndio utajua cha kufanya
Watakuja wapi? Kufanya nini?, mwacheni dogo ameshapata future wife.๐๐๐Kijana ....hizo sisi wengine tumeandikiana sana, hadi kula Yamini lakini Leo hii...๐ ๐คฆ๐ฟtafuta pesa tafuta pesa watakuja wenyewe
Tatizo wabongo mko kweny negative sana yaan hata kumfariji Mtu changamoto๐๐Watakuja wapi? Kufanya nini?, mwacheni dogo ameshapata future wife.
Sawa Albert Einstein ๐๐พHauna akili mdogo wangu! Ni hayo tu
Acha kumtisha mtotoAkifika tu chuo first yr huna chako
Akili kichwani
Mdogo wangu mimi nakuunga mkono sana, sema wakuu wengine wanakunanga kweli kweli๐๐.Tatizo wabongo mko kweny negative sana yaan hata kumfariji Mtu changamoto๐๐
๐๐Acha kumtisha mtoto