Nifanye nini Ili nisimpoteze

Ujinga mtupu
 
Tafuta hela mdogo wangu. 25 years unataka kuwa baba
 
Mtu anayeandika xx badala ya sasa.

N ww 2 badala ya ni wewe tu.

Sw, tuciachn badala ya sawa tusiachane.

Huyu binti bado ni mtoto na bado ana akili za utoto. Bado ana yale mapenzi ya kwenye muvi na kishule shule.

Hapa ana act tu kwa sababu akili yake ipo kishule shule bado.

Akikua kua kidogo na kufika chuoni akaona uhalisia wa mapenzi na kuanzisha familia kulivyo.

Hapo utaachwa mchana kweupe!
 
SI mlisema tuoe bikra kwahyo Hadi bikra wanabadilika nao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yaah hela natafuta sana mkuu ,,Niko namfikiria huyo mwali tutakapofikia
Tafuta hela, focus na maisha kwanza. Huyo mamsi wote hamjawa matured acheni kudanganyana na kupeana ahadi za uongo. Think of marriage when you have proper financial grounds. Ndoa sio hisia ni majukumu na maturity. Nyie kaeni endekezeni hisia.
Yaah hela natafuta sana mkuu ,,Niko namfikiria huyo
 
Tafuta hela, focus na maisha kwanza. Huyo mamsi wote hamjawa matured acheni kudanganyana na kupeana ahadi za uongo. Think of marriage when you have proper financial grounds. Ndoa sio hisia ni majukumu na maturity. Nyie kaeni endekezeni hisia
Muda ninao wa kupambana , Mungu anasaidia Hadi tukifikia hiko kilele nitakuwa na uhakika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ