Nifanye nini hapo au tatizo ni nini hapo?

Nifanye nini hapo au tatizo ni nini hapo?

Montevee

Member
Joined
Jun 20, 2021
Posts
5
Reaction score
0
Computer yangu inaandika hivi, nifanye nini hapo au tatizo ni nini hapo?

20210621000551.jpg
 
Inaambatana na mlio wakati unaiwasha au ipo kimya mpaka inapokupa hiyo error?
 
1. Ondoa betrii ya CMOS. Ondoa betrii ya laptop. Usiweke kwenye umeme. Bonyeza Power-on kwa dakika mbili hivi. Uliongeza hardware yoyote kwenye kompyuta yako?

2. Toa memory card mahali iliko, ihamishie sloti nyingine.

3. Toa network card.

4. Lete mrejesho.
 
Retwork card ndio sijui ipo seem gn naomb nielekeze
 
Inaambatan na mlio tena mlio unagonga mara tatu tiih tiih tiih alaf inakuj hivyo
Fungua CPU toa ram.

Ule upande unaong'aa usugue kwa plain paper au gazeti kwa angalau sekunde 30 kisha rudishia na iwashe.

Ikigoma kuwaka cheki kama Hard Disk umeiunga vizuri.

Ikigoma tena chomoa betri iwashe bila betri.
 
Back
Top Bottom