Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu

Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu

Hivi mnakuwaga na uchungu na hao watoto?

Is there a point in time munatangulizaga mahitaji ya watoto kabla ya kwenu?

unaeleza ukiwa relaxed kabisa eti katelekeza watoto na mimi nikampokea.

So sad.

Wote tu wa ajabu.
Mwanae wa kwanza kamtelekeza kwa wazazi wake.
Hao wawili alozaa na huyu mkewe kawatimua na mamaao.

Mwanamke anaempokea katelekeza watoto.


Unapata picha gani?
Hivi vichwa ni Changamoto
 
Dah! Ndo mana watu wengine wanauawa kabla ya siku zao kufika, yani hatari kama hiyo umeikumbatia tuuu!! Rudisha kwao kitu cha watu wewe!
 
Nashukuru kwa ushauliwako missa.Sasa nitumia njia gani kumshawishi ili arudi kwani namimi simuhitaji.

Mkuu tuwe wakweli, hujamgegeda toka ahamie kwako!? Then ndo nikupe complete ushauri:beer::beer:
 
Oldaganje,mwambie we ushamaliza ugomvi na mkeo na anarudi anytime mje mlee watoto we nu,mwambie kuwa unawapenda sana wanao na hupendi wateseke na ndio sbb hata yule uliyemzalisha yeye uliamua kumgomboa sbb una uchungu na damu yako.

Mwambie pia hupendi kujiingiza kwenye ugomvi na mumewe bila SBB ya msingi hivyo ni bora aende alikokuwa akiishi kabla ya kukutana na mumewe.

Pia mwambie kama akiona VP akashitaki ukweni au kwenye vyombo vya dola akaombe talaka kabisa aanze upya maisha.

Ki ufupi mfukuze na umpe ukweli Kuwa kisheria ye ni mke wa MTU ,na hakuna ndoa isiyo na migongano watu wanavumilia na kugombana maisha yanaendelea,wachungaji kwa maimamu wanagombana na wake zao sembuse yeye!!fukuza mwambie na wewe una matatizo yako unahitaji nafasi umrudishe mkeo!
 
Kitu kimekufanya umpokee mtu ambae hukuwa na mawasiliano nae zaidi ya miaka 10...k? Nini kinakupa amani,sasa utafanywa mbaya
 
watu mnapenda kufanya masihara sana na masuala ya uzazi na ndoa/mahusiano....unazaa kisha unaacha, yeye anakwenda huko anazaa watoto wawili nawe vivyo hivyo kisha unamtimua wako kwa kuwa wa zamani kukuonjesha ulipokwenda kumwona mtoto wako....at the end unampokea mwanamke aliezaa na mwanamme mwingine na wameishi kama mume na mke??!!!..........you deserve all kind of purnishment and You need brain surgery
 
Wote tu wa ajabu.
Mwanae wa kwanza kamtelekeza kwa wazazi wake.
Hao wawili alozaa na huyu mkewe kawatimua na mamaao.

Mwanamke anaempokea katelekeza watoto.


Unapata picha gani?
Hivi vichwa ni Changamoto

Hao watoto sasa? Sijui watakulia katika mazingira gani.
 
Kwa kuwa wote hamkuoa wala kuolewa...

Fungeni ndoa mlee watoto wenu
 
Halalisha ndoa kwanza kama kwel hakuwahi kuolewa,pia tafuta suluhu la wazazi kwanza pande zote mbili wakujue kuwa we ndiye uliyeanza kumzalisha na uombe msamaha pia utoe adhabu uwalipe na mahali hiyo itamkosesha nguvu huyo mme mwenza,
NB,fanya haya kama tu una mapenz ya dhati kwa familia yako na mkeo....

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wote tu wa ajabu.
Mwanae wa kwanza kamtelekeza kwa wazazi wake.
Hao wawili alozaa na huyu mkewe kawatimua na mamaao.

Mwanamke anaempokea katelekeza watoto.


Unapata picha gani?
Hivi vichwa ni Changamoto

Na kweli wanafanania hahahahaaa...
 
Mtoa mada mbona maelezo yako yanaonyesha ulikuwa na mawasiliano na huyo mwanamke wa kwanza na ndo hata chanzo cha mke wako kukukimbia, hivihivi haingiii akilini mtu baada ya miaka kumi akimbilie kwako ghafla bin vuu,hapana aisee!!

Fanya maamuzi magumu huyo mwanamke arudi kwa mumewe wakalee watoto,wewe patana na mkeo mlee watoto wenu na ubariki hiyo ndoa yako kabisa.
 

Hi ..... 1418481705465.jpg
 
Back
Top Bottom