Katika hiyo bajeti yako anza na chumb cha kulala inategemea na ukubwa wa familia yako vingine vitafuata ukiwa humo ndaniNaombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Tiles na aluminium windows kwanzNaombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Site nyingi hapa dar sasa hivi watu karibu 70% wamehamia bila madirisha ya aluminium wamepachika tu griri na nyavu, vigae ndo usiseme wanaweka rough na wanafunika na zurio, sijui ndo new fasheni au ukata wa pesa......wewe uko poa sana weka tu gypsum kuzuia panya na wadudu kapanda juu na Saudi ya chumbani isitokeNaombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Anza na madirisha kwanza hela ikibaki weka gypsum. Tiles utaweka chumba kimoja kimoja baadae.Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Mkuu fanya haya:
Weka gypsum board, hii itakuepusha mafundi kuweka jukwaa juu ya tiles wakati wakifunga gypsum board.
Pili weka aluminium kwani ni sehm ya ulinzi kiafya na usalama.
Tiles haina madhara weka baadae
Ukiweza weka tiles choo mnachotumia kuepusha usumbufu baadae
Ushauri wa binti huyu pia muhimu, unaweza kujibana uweke tiles chooni pekee, kama bajeti imebana unaweza kuacha kuweka aluminium dirisha mojaAsante sana maana nimeumiza kichwa sana na mama mwenye nyumba ni mswahili mno sasa naona heri nihamie kwangu hata kwa tabu.
Ukiweza weka tiles choo mnachotumia kuepusha usumbufu baadae
Asikwambie mtu, kwako kwako tu hata kama hamna umeme!Asante sana maana nimeumiza kichwa sana na mama mwenye nyumba ni mswahili mno sasa naona heri nihamie kwangu hata kwa tabu.
Jukwaa kwenye tiles linaathiri nini labda tujue ikiwa ataweka kwanzaMkuu fanya haya:
Weka gypsum board, hii itakuepusha mafundi kuweka jukwaa juu ya tiles wakati wakifunga gypsum board.
Pili weka aluminium kwani ni sehm ya ulinzi kiafya na usalama.
Tiles haina madhara weka baadae
Jukwaa linakwaruza tiles, na kama hazina ubora au uweksji sio mzuri jukwaa linaweza kuvunja baadhi ya tiles.Jukwaa kwenye tiles linaathiri nini labda tujue ikiwa ataweka kwanza
Asikwambie mtu, kwako kwako tu hata kama hamna umeme!
Sema ukihamia usijisahau, utajikuta unazoea maisha ya bila tiles hadi wageni waje ndo unajishtukia
tiles weka kiyhakika choon.kule ni ofisen muhim sana maliza choo compelte.sinl wash choo ya maana usisasahu kuweka na vidude vya kuwekea sabun.mabaf yankiswah meng yanakua hayana hata sehem ya kutundika nguo.weka holder zote.kisha tia kioo chba chako cha kulalia ka pesa ipo ipo na sebure