Nifanye kipi kati ya kuweka ya tiles, Aluminium windows na gypsum board?

Mrs bobo

Member
May 27, 2021
12
75
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko.

Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
 
Mzalendo39

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
695
1,000
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Katika hiyo bajeti yako anza na chumb cha kulala inategemea na ukubwa wa familia yako vingine vitafuata ukiwa humo ndani
 
Martinez Jb

New Member
Jul 16, 2021
3
45
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Tiles na aluminium windows kwanz
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
12,752
2,000
Mkuu fanya haya:
Weka gypsum board, hii itakuepusha mafundi kuweka jukwaa juu ya tiles wakati wakifunga gypsum board.
Pili weka aluminium kwani ni sehm ya ulinzi kiafya na usalama.

Tiles haina madhara weka baadae
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,279
2,000
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Site nyingi hapa dar sasa hivi watu karibu 70% wamehamia bila madirisha ya aluminium wamepachika tu griri na nyavu, vigae ndo usiseme wanaweka rough na wanafunika na zurio, sijui ndo new fasheni au ukata wa pesa......wewe uko poa sana weka tu gypsum kuzuia panya na wadudu kapanda juu na Saudi ya chumbani isitoke
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,746
2,000
Naombeni msaada wa kiushauri kutokana na bajeti yangu ni ndogo na nahitaji kuhamia kwangu haraka inavowezekana... Nahitaji angalau nifanye vitu viwili kati ya hivyo vitatu je nifanye nini na nini na nini naweza kukiacha nikafanya nikiwa na nafasi kimfuko. Kati ya tiles, Aluminium windows na gypsum board.. naombeni ushauri wenu.
Anza na madirisha kwanza hela ikibaki weka gypsum. Tiles utaweka chumba kimoja kimoja baadae.
 
Mrs bobo

Member
May 27, 2021
12
75
Mkuu fanya haya:
Weka gypsum board, hii itakuepusha mafundi kuweka jukwaa juu ya tiles wakati wakifunga gypsum board.
Pili weka aluminium kwani ni sehm ya ulinzi kiafya na usalama.

Tiles haina madhara weka baadae

Asante sana maana nimeumiza kichwa sana na mama mwenye nyumba ni mswahili mno sasa naona heri nihamie kwangu hata kwa tabu.
 
Underthesea

Senior Member
Jul 8, 2021
193
1,000
Asante sana maana nimeumiza kichwa sana na mama mwenye nyumba ni mswahili mno sasa naona heri nihamie kwangu hata kwa tabu.
Asikwambie mtu, kwako kwako tu hata kama hamna umeme!
Sema ukihamia usijisahau, utajikuta unazoea maisha ya bila tiles hadi wageni waje ndo unajishtukia 😄
 
Rose Of Africa

Senior Member
Apr 27, 2020
136
225
Mkuu fanya haya:
Weka gypsum board, hii itakuepusha mafundi kuweka jukwaa juu ya tiles wakati wakifunga gypsum board.
Pili weka aluminium kwani ni sehm ya ulinzi kiafya na usalama.

Tiles haina madhara weka baadae
Jukwaa kwenye tiles linaathiri nini labda tujue ikiwa ataweka kwanza
 
Mrs bobo

Member
May 27, 2021
12
75
Asikwambie mtu, kwako kwako tu hata kama hamna umeme!
Sema ukihamia usijisahau, utajikuta unazoea maisha ya bila tiles hadi wageni waje ndo unajishtukia

Acha kabisa ndugu. Mwenye nyumba kanichefua mno yani nikaona nijitutumue hata kwa shida nihamie
 
julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
1,274
2,000
tiles weka kiyhakika choon.kule ni ofisen muhim sana maliza choo compelte.sinl wash choo ya maana usisasahu kuweka na vidude vya kuwekea sabun.mabaf yankiswah meng yanakua hayana hata sehem ya kutundika nguo.weka holder zote.kisha tia kioo chba chako cha kulalia ka pesa ipo ipo na sebure
 
Rusumo one

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
1,832
2,000
Hivi wakuu nikitaka kubadili bati na kuumua paa ktk nyumba ambayo tayari ilishawekwa gypsum hapo Kuna gypsum kubaki nzima na kama Kuna mbinu ya kuzuia zisiharibike naombeni wakuu wangu.
 
Sep 1, 2020
14
45
Funga gpsum, tiles vyooni,piga Aluminium Boss, usisahau kua Mimi ni Fundi Aluminium, Office yangu na workshop yangu ziko Mbezi mwisho ya Kimara. Karibu sana nitakufanyia Bei fair Kabisa. 0743664260 au 0684617585
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
10,259
2,000
tiles weka kiyhakika choon.kule ni ofisen muhim sana maliza choo compelte.sinl wash choo ya maana usisasahu kuweka na vidude vya kuwekea sabun.mabaf yankiswah meng yanakua hayana hata sehem ya kutundika nguo.weka holder zote.kisha tia kioo chba chako cha kulalia ka pesa ipo ipo na sebure

Bibi huu mwandiko nimeteseka sana ila nimeelewa hivyo hivyo tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom