Nianze kuweka nini kati ya Tiles na kioo?

Mrs bobo

Member
May 27, 2021
16
43
Habari wadau, naomba ushauri kati ya tiles na kioo bora nianze kuweka kipi kwenye nyumba yangu.

Ila nyumba nimeshahamia nimo ndani humo humo ninawaomba ushauri vyote ni muhimu ila bajeti sio rafiki.

Asanteni
 
Weka tiles mkuu kioo baadae mana nyumba ikiwa na tiles inakua hiachoshi sana.
 
Tunaelekea msimu wa joto , kioo kinaweza kisiwe chaguo sahihi kuanza nacho , anza tiles , baridi likianza kukolea miezi ya tqno sita huko unaweka kioo.
 
Anza vyote kwa chumba kimoja kimoja ili iendane na budget uliyonayo kwani mtindo huo unakubalika kwa mafundi na kihesabu

Kuna athari nyingi utazipata kwa kuanza na kimoja wapo at full,yaani kupiga tiles nyumba nzima au kuweka vioo nyumba nzima
 
Tatizo la tiles zinapotea madukani, unaweza kuweka chumba kimoja tiles za aina fulani halafu siku ukienda tena kwa ajili ya chumba kingine huzikuti. Matokeo yake nyumba inakua na tiles tofauti tofauti

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom