Miss Mbunda
Member
- Jan 22, 2013
- 36
- 14
Piga moyo konde umwambie ukwel na uachane nae kabisaa,kwan unampotezea mda 2 dada wa watu kitu ambacho sio kizuri.
Usiendelee kumuumiza, let her go. Kuna wanaompenda kwa Dhati lkn unawazibia wewe ambaye huwezi kuwa naye.
So prove that you love her by letting her go.