Nifanyaje yamenikuta!

Nifanyaje yamenikuta!

Asanteni kwaushauri,matusi,dharau namengineyo ila mm mmoja nawakilisha wengi sana ambao mambo haya yamewakuta,,yesu alisema na asie nadhambi awe wakwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke!walijitafakari moyoni mwao wakaanza kuondoka kuanzia wazee hadi watoto!naweza onenaka mkosaji sana kumbe wengine humu hasa mnao jifanya malaika nakutukana niwabovu mbaya..ok I take what can help me to make gd decision toward dis dilemma!
 
Yani age yako inaonyesha bado mdogo lakini unajipa majukumu yasio na ulazima,kwanza hujipendi,pili huwapendi wote ,Kama ungewapenda usinge wagegeda bila kinga, ebu maliza kusoma achana na mambo ya wasichana wangekua watamu wala usinge wakutaa.... Ivi nikuulize kijana matangazo ya Kondom mpaka kwenye maguzo ya umeme yamebandikwaa vituo via daladala huoni?

Unamuonea gere mwenzako kapiga copy! Na hako katoto angekapataje? Watu wako kwenye ndoa zao na huo ukimwi wanaupata.
Ila daa na huyu jamaa ni hatar yani alipiga pacha za nje! Hapo fix zake kuyasolve mi simo, raha wala weye vichwa tuumize sie!!
 
Wewe hujatulia na hujielewi bora yake huyo aliekutenda upo kama sigara kali vile mbele unawasha nyuma unawasha hueleweki kabisa, mimi nawachukia sana watu kama nyie

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Asanteni kwaushauri,matusi,dharau namengineyo ila mm mmoja nawakilisha wengi sana ambao mambo haya yamewakuta,,yesu alisema na asie nadhambi awe wakwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke!walijitafakari moyoni mwao wakaanza kuondoka kuanzia wazee hadi watoto!naweza onenaka mkosaji sana kumbe wengine humu hasa mnao jifanya malaika nakutukana niwabovu mbaya..ok I take what can help me to make gd decision toward dis dilemma!

dogo hapo ishu sio dhambi wala malaika, ishu ni manifestation ya uvivu, uzembe na kupoteza VALUABLE TIME kwenye ishu za kizamaaaani za kufuatilia NGONO kama ugali huku UMRI UNAKWENDA. MAISHA.
Hivi hao vifaranga unaowafyatua mitaani ushawahi kuproject huko mbele watasoma shule gani? kwa ada ya nani?
AMKA KIJANA!!!
 
AJIRA HUNA UNAWAZA KUOA? SERIOSLY????????? Harak ya nini? Chill out, you will figure THINGS OUT LATER! And if you are LUCKY things may figure themselves out! Ukijichelewesha watakuwahi MMOJA so utabakia na MASALIA.

Kwa hiyo wasio na ajira wote wasioe? Hapa umebugi, pia nahisi we ni penda starehe sana. Kazi ni majaliwa kuoa ni lazima ila kuolewa si lazima.
 
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu niliwahi kua nae mmoja mwaka wakwanza alinitenda vibaya nikaapa kua nademu chuoni!sasa hawa mabinti mmoja alikua nyumbani namwingine maeneo yachuo(alikua anafanya kazi stationary) niliwapenda kawaida sana naupendo sawa!mwaka wapili mwishoni wkt narudi nyumbani kumbe yule binti wachuoni alikua namimba,nilipofika nyumbani kama kama kawa nikawa nayule wahome.baada yamuda kidogo demu wachuoni akaniambia anamimba sikukataa sabu kweli nilimtumia sana,likizo ikaisha ile narudi chuo wanyumbani nae anapiga simu anamimba sikukataa pia,nikawa kwenye mtihani mkubwa huku nahuku!kama mwezi watatu hivi yule wachuo alijifungua bahati mbaya mtoto alifariki,ila kupitia hili kwao wote wananijua sikukaa sana nayule wahome mwezi unaofata akajifungua motto wakiume ila yeye mzima hadi sasa!nimekaa nao hadi sasa ila hakuna anayejua kuhusu mwenzie zaidi yangu nawako mbali,chazaidi wote niwife material nawazuri nimejaribu kumwacha wachuoni nimeshindwa nanafsi yangu inanisuta sana sabu nimewahi mtuma mtu amtongoze nipate sababu yakumwacha imeshindika napia huyu home hawamjui.ila huyu home anajulika home nakashakaa mkao wakuolewa napenyewe ajira zinatoka kesho!,ila nikiri wote walinizalia chapa yangu,sabu Hutu alienizalia kidume nicopy Yangu kabisa nahata alie nizalia mtoto akafa nilimuona alikua niwaukoo wangu kabisaaa!sasa hapa nipo kwenye mtihani nanizaidi anafaa kuishi namm?nikijaribu kufikiria kumuacha mmoja moyo wangu unauma sana naukizingatia mm mkristu mke mmoja!,NIFANYAJE YAMENIKUTA NAOMBA MSAADA WENU WANAMMU..

Nipe mimi huyo wa chuo coz natafuta. Nipigie namba 0750l34581
 
pole sana kaa utulize akili utajua cha kufanya!!
 
Unajisikia hatia juu yao?
NI kweli kwa sababu ukikaa na mtu ukimdanganya then muda ukaenda sana ukaja kutambua kuwa hakuangalia kushoto wala kulia alikuwa mwaminifu kwako + she is a human angeweza kuhadaika na wenye fedha lakini kakolea kwa mtegemea boom! Kakuzalia mtoto, kwao wanakujua(watu wake muhimu hakuona aibu wala shida kukutambulisha!!!). Kiukweli wanamume wengine tuna dhambi!!!

Wote wife material?
Could be kulingana na vigezo vyako. Basically wanawake wote wanafaa kuolewa- it really depends on what u r looking for in a wife nad whether or not u match!

Kitu ambacho sielewi ni-
How on earth can u love two women the same?
Wewe ni mkristu na sababu ya msingi tuliyoambiwa ya kuoa mke mmoja ni kwamba u can never love more than one woman the same!!!

a) U love one of them but don't know it or wont admit it
b) U love neither of them
 
Kwa hiyo wasio na ajira wote wasioe? Hapa umebugi, pia nahisi we ni penda starehe sana. Kazi ni majaliwa kuoa ni lazima ila kuolewa si lazima.

Hahahaaa, KISHINDO, Hapo kwenye sentensi (Bolded)ya mwisho umeniacha hoi!!!! Ikiwa wewe ni SHE basi utakuwa haujaolewa na muda unakutupa mkono sasa hii imekaa kichwani kwako ili uweze kujifariji.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, KISHINDO, Hapo kwenye sentensi (Bolded)ya mwisho umeniacha hoi!!!! Ikiwa wewe ni SHE basi utakuwa haujaolewa na muda unakutupa mkono sasa hii imekaa kichwani kwako ili uweze kujifariji.
Siyo kama unavyofikiri. Concept yangu ni kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume so NI LAZIMA KWA KILA MWANAUME KUOA NA SI LAZIMA KWA KILA MWANAMKE KUOLEWA thats why unakuta mwanaume mmoja ana wanawake wawili na kuendelea but mwanamke mmoja hawezi kuwa na wanaume wawili akiishi nao.
NADHANI WEWE HUJAOLEWA, THATS WHY UMEKUWA MKALI KA PILIPILI KICHAA. POLE SANA DADANGU COZ UNAZIDI KUZEEKA KILA SIKU, JAMAA WANAGONGA KITENESS WANATEMBEA.
 
Duu uamuzi nawamwaga wote tiiiii!asanteni kwaushauri...
 
ungekuwa unaujua huo unaouita ukristu wala usingefanya huo uasheratiii!

Nikweli nilianguka dhambini,lkn yesu alisema ijapo dhambi zenu zitakua nyekundu kama bendera nitazitakasa nakua nyeupe kama theruji!so nimeenda kiti chakitubio namajuto yakweli moyoni naamini nimesamehewa vp ww?
 
Nikweli nilianguka dhambini,lkn yesu alisema ijapo dhambi zenu zitakua nyekundu kama bendera nitazitakasa nakua nyeupe kama theruji!so nimeenda kiti chakitubio namajuto yakweli moyoni naamini nimesamehewa vp ww?

direct kwa yesu.. haina kupindisha.
 
Back
Top Bottom