Nifanyaje nimsahau?

Mwache huyo kaka sababu huridhiki naye, Wakina Felix chajw kubwa wapo wengi tu
 
Angetulia haya yasingemkuta
 
Hizi tamthilia bwana zinawaharibu wewe jumlisha Felix Maisha yenu mazuri mnaishi posh areas living well pliz give us a break
 
felix achana nae kashakupa mgongo now unajiumiza bure tu
tulia na urudi kwa mola wako utubu.pangeni mfunge ndoa kwani kumbuka kuwa hakuna kitu chenye baraka na utulivu kama kuishi katika maisha ya ndoa.
 
Wanawake wakiamua kujivua nguo wanajivua tuu.
 
kumbe kijarida cha ngono
nilijua real life issue
 

Tatizo story ya kutunga mkuu
 
Felix alikuwa sahihi kutafuta mwanamke mwingine, hukuwa wazi kwake. Unapata mwanaume anakutambulisha kwa jamaa zake, ww hata ndugu zako hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…