baada ya kushinda siku nzima asubuhi ilifika nilitakiwa niondoke mapema sana kwan niliona tena uvivu kwenda nyumbani, asubuhi tuliamka felix alikua kasharidhika na shoo za siku nzima nilijikuta nataka tena yeye alinigomea niliipapasa mic lakini iligoma kuwaka ikanibidi nianze kuflow na mic ndo ilipowaka tukapiga tena show baada ya show aliniogesha sikujigusa hata kidogo akanipaka mafuta yeye akavaa nguo zake za ofisini akanipeleka nyumbani nikajiandaa nkachukua gari yangu nkaelekea ofisini, kiukweli nilihisi kama kuna kitu nimekipunguza mwilini mwangu na ghafla nikawa mwepesi, nlikua nacheka cheka tu nafurahi kila nkikumbuka zile show, sikuwahi hata siku moja kuanza kumtumia felix msg au kumpigia this time nlijikuta natamani nimpigie niskie sauti yake au tu nichat nae nkajifanya kumwambia "mambo nimeshau mkufu nyumbani kwako" kumbe ni chanzo tu, tulichat sana ata kazi nkawa najisahau kuzifanya adi niligombana na mfanyakazi mwenzangu hiyo siku kisa tu felix... mda wote akili yangu ilimuwaza felix sijui kilichonipata ni kitu gani,mda wote nilikua nikichat na best friend wangu nilimuadisia utu story za felix mpaka alinishangaa, usiku pia nilijikuta namuota!!
Nilijikuta nabadilika nikimtumia msg asipojibu nakasirika napata mawazo nikimpigia asipokee nawaza mengi!
Mahusiano na felix yaliendelea vizur sana ikafikia hatua mda wa lunch alikua akija kuniona uvumilivu ulikua unatushinda tukawa tunapiga show hadi kwenye gari lake ambalo lilikuwa na tint na kidogo liko juu ambalo ni lexus, nahapo nikajikuta nimempenda sana... (tulipima kabisa japo niliogopa sana iyo siku nayo ni story nyingine).. aliniomba funguo za nyumban kwangu ili akiamua awe anakuja na pia alitamani sana awe anakuja kwangu lakini nilimpa visingizio visivyoisha, tayar boyfriend wangu alikua na funguo zangu na mda wowote alikuja akijiskia, alitamani awajue japo ndugu zangu ila ilikua ngumu kwangu wakati mi alinitambulisha kwa watu wake wote wa karibu ilikua ni kwasababu wengi wao walikua wanamfahamu yule, kuna kipindi ambacho nilijikuta nabanwa weekend ata mbili ata mida baada ya kazi boyfriend wangu alikuwa ananitembelea japo nilimpenda felix ila huyuku nae anamchango mkubwa sana katika maisha yangu ikiwa kazi nayoifanya yeye ndo aliyeniunganisha kwenye company ya rafiki yake baada ya kukaa mwaka mzima bila kaz baada ya kumaliza chuo na nalipwa vizuri sana hadi kupelekea kufanya vitu vya maana ikiwemo hadi kununua gari , na alinisaidia sana kipindi nikiwa chuo kabla hatujaanza mahusiano kama rafiki yangu wakaribu sana, na pia ndiye aliyenitafutia nyumba huku ushuani na alikua akinilipia kodi mpaka nilipoanza kazi ikiwa yeye anaishi na kaka yake na mdogo wake na ameshajenga tayari hivyo namuheshimu kupita maelezo. (naona mnajiuliza felix anafanya kazi gani au vipi vipi) yeye anafanya kazi company moja ivi kama muhasibu na boyfriend wangu amemzidi kila kitu kimaisha hadi kipato!! Muda mwingine alikua akinipigia simu nashindwa kupokea kuna kipindi boyfriend wangu alikuja kwangu tukakaa siku nne mda ambao tulizoea kuongea usiku ni saa nne akiwa amepumzika ila iliniwia vigumu
Maisha yakaendelea tukiwa na mahusiano ya miez karibia sita au saba ivi, nilienjoy sana japo felix alikua akiniuliza tu mienendo yangu, sikumshirikisha chochote kuhusu mimi, ila yeye aliniambia mipango yake mara kanunua kiwanja sehem flani kafanya hivi ila mimi no!! Basi siku moj weekend nikaamua kwenda kumsalimia ilikua jumamosi asubuhi, tukiwa tumekaa ghafla aliitwa kazini akajiandaa haraka haraka akaondoka, nikaamua nimfanyie usafi sikuwahi kufanya usafi ule usafi haswa mara nyingi tunashinda tukikumbatiana nkienda kwake, au nikiamua nifanye usafi boyfriend wangu atanipigia ntakurupuka, basi nkaanza na chumba cha pili nkadeki vzur tu, jikoni sitting n.k nkaamua nimalizie chumbani ikiwa kabati lina nguo hazijapangwa na nini, basi nkaamua nipange nguo nkasema zingine ntazimalizia ngoja nchukue nguo chafu nizitumbukize kwenye washing machine zikiwa zinafuliwa nimalizie izo zingine wakati namalizia kuzipanga nkakutana na nguo za kike zimesukumizwa kwa ndani, chupi na nightdress pamoja na kanga moyo ulinipasuka nkajikuta nimekaa chini nisijue cha kufanya, felix ananifanyia hivi ananisaliti? Nilitamani nimpigie ila nilishindwa roho iliniuma sana, nkajiona mjinga sana kufanya usafi na kumwambia nitampikia, nikawa sina jinsi nlizotoa nguo kwenye machine nkaenda kupika nilijikaza ila hali niliyokua nayo nikipata picha raha zote tulizopita ahadi zote leo ananisaliti? Basi aliporudi tu nilimkaribisha kwa maneno nilimsema nilimgombeza sana aliniomba msamaha sana ndo kupenda tena nkajikuta namsamehe, usiku ule nkaandaa chakula tukala usiku ule show kama kawaida asubuhi boyfriend wangu alintumia msg anakuja ivyo nimuandalie breakfast akitoka kanisani anakuja, nilimuacha felix kalala nkajiandaa wakati nataka kutoka nkamuamsha alikasirika sana lakini ndo siku na jinsi nlimdanganya danganya nkaondoka, lakini bado roho iliniuma sana kwanini felix anisaliti lakini nkawa najikuta nna kinyongo akinipigia nasahau, maisha yakaendelea....
Vituko vikaanza
Siku moja namtext whatsapp nkaona profile picture ya mkono wa mdada umeshikilia pochi nilipomuuliza alinijibu ni mdogo wake sikua na hiana basi sawa tukaendelea tu na mahusiano vizuri this time felix akabadilika mkikubaliana anakuja kukufata mara haji visingizio, ukimpigia ghafla tu excuse kibao roho iliniuma sana ila kwakua nampenda nkavumilia, siku moja nkaamua niende kwake ilikua ijumaa ilikua ni holiday nakumbuka kulikua na mpira akaitwa na wenzake kuangalia mida ya saa kumi na mbili ivi nikiwa nimekaa naangalia kipindi flani ivi dstv ghafla ikaacha kuonyesha ilikua saa mbili usiku hivi na alisahau kueka kifurushi na ivi alinitenda nkasema simnunulii wala nini ninunue wengine waangalie basi akaniambia hana hela kwenye simu mpaka kesho akaniambia kwenye begi lake la laptop kuna external nichukue niangalie movie nisiboeke hadi atakaporudi, katika kutafuta na kuchokonoa chokonoa sindio nikaona file kuingia ndo naona picha kibao na videos walizojirecord yeye na girlfriend wake alieniambia wameachana na kuangalia tarehe ya picha zilizopigwa ni jana yake kumbe walitoka, zingine ikiwemo ile niliyoiona whatsapp kumbe aliicrop ghafla nilianza kulia moyo uliniuma nilitamani ardhi ipasuke niingie, nilivaa hapo hapo kwa hasira na kutoka nje nilifata barabara kama chizi sikuwa na gari siku hiyo alinifata kwangu nikaliacha, hadi nilipokutana na bajaji nikaamua kurudi nyumbani!! Kwa hasira nilimtumia msg nkaamua kuachana naye, alijitetea kwa kusema alikua hanielewi akaamua kutafuta mtu mwengine, hivyo tukaachana mazima!! Ila roho iliniuma sana nkawa mtu wa mawazo chakula hakipiti, nkitoka na marafiki namuwaza tu yeye, nikikutana na boyfriend wangu sipati raha kama nzlizokua nazipata kwa felix ikafika adi wakati wa show namuwaza au kukumbuka kipigo cha felix na mimi ndo naskia raha, nikilala usiku nazikumbukia tu show plus tuliendana sana baadhi ya mambo, tulikua tukitoka sana na alikua so romantic kuanzia kuongea adi msg mpaka chumbani, nilipata mateso sana siezi kuelezea..
ITAENDELEAA.........