concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
Mwache huyo kaka sababu huridhiki naye, Wakina Felix chajw kubwa wapo wengi tu
Angetulia haya yasingemkutaKUMBE UMEONA NINGESENAMAMIMIMWANAUME INGEONEKANA NA CRUSH TU WANAWAKE ....HAUNA USALITI HAPO KILA MTU ANA MTU WAKE NA HAJAWEKA WAZI SO KAMA VIPI AKOMAE NA FELIX ILI YULE MWINGINE AACHWE NA SIO KULIA LIA WAKATI AMESEMA ANA MTU WAKE FELIX ALITOKEA BY THE WAY...KUSUKA AMA KUNYOA
HEADLINE:
nifanyeje nimsahau.
STORY INSIDE:
haiendani kabisa na headline hapo juu, then hujui kusummarize habari yako.
Habari yako ni ndefu afu haijaisha.
Mtu hawezi kukushauri kwa hii habari ulioyoandika sana sana ataenjoy kusoma stori yako, madam next time angalia madhari na uandishi wako, hii stori umeonesha majivuno, mapenzi, matukio,usaliti wa mapenzi,
Summarizes stori yako iwe simple, smart but yenye kueleweka, then iwe kiushauri na sio hadithi.....
We ni me au ke..?[/QUOTE
kudata hakuna jinsia mkuu..ila kale kamchezo kataaam jaman kasikieni tuuu
Mke wa mtu wa baadaye huyu anayesimuliwa, God help us!
We nyoosha tu kimpango wako, sio lazima unambie mimiAsie na dhambi amnyooshe mwenzie kidole.
Mkuu umemaindi?We nyoosha tu kimpango wako, sio lazima unambie mimi
Nimekumaindi wewe hapoMkuu umemaindi?