Nifanyaje nimsahau?

Nifanyaje nimsahau?

HEADLINE:
nifanyeje nimsahau.
STORY INSIDE:
haiendani kabisa na headline hapo juu, then hujui kusummarize habari yako.
Habari yako ni ndefu afu haijaisha.
Mtu hawezi kukushauri kwa hii habari ulioyoandika sana sana ataenjoy kusoma stori yako, madam next time angalia madhari na uandishi wako, hii stori umeonesha majivuno, mapenzi, matukio,usaliti wa mapenzi,

Summarizes stori yako iwe simple, smart but yenye kueleweka, then iwe kiushauri na sio hadithi.....
 
Khaaaaa ndefu hivyo alafu bado itaendelea?.....ntasoma badae
 
Back
Top Bottom