Nifanyaje nimsahau?

Nifanyaje nimsahau?

umenigombanisha na mke wangu, maana nimedinda wakat nasoma ghafla kaona anauliza nini kinaendelea jf/ kumpa asmoe, du, nasisi tumenzia hapo hapo, mbaya humba kimoja kumbe mtt alikuwa anapiga chabo.
 
Wanasema nimedata sina hata lakusema mbele yako... wanasema nimedata ooooooh...
sogea karibu acha yako mapozi njoo karibu nami ewe unipe dose aaaah... unipe dose sina mwengine zaidi yako ewe rose... Baby gal you my night rose aaaah you my night rose....
kanyimbo kazuri haka kaliimbwa na mad ice😀

sasa ikawaje sasa..?

Nimedata nimedata nawe,,
 
HEADLINE:
nifanyeje nimsahau.
STORY INSIDE:
haiendani kabisa na headline hapo juu, then hujui kusummarize habari yako.
Habari yako ni ndefu afu haijaisha.
Mtu hawezi kukushauri kwa hii habari ulioyoandika sana sana ataenjoy kusoma stori yako, madam next time angalia madhari na uandishi wako, hii stori umeonesha majivuno, mapenzi, matukio,usaliti wa mapenzi,

Summarizes stori yako iwe simple, smart but yenye kueleweka, then iwe kiushauri na sio hadithi.....
Sidhani kama uko sahihi... Huyu binti anatuletea story sasa kwann aifupishe wakati inatakiwa airefushe... Ai expound .. Iwe ndefu na izidi kunoga.
Ingekuwa ni true story alitakiwa aifupishe ila ya kutunga airefushe
 
Back
Top Bottom