Nifanyaje ili computer isifungukie kwenye Safe mode

Soki

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
1,303
279
Naona kama inachukua mda mrefu sana na kunipotezea mda PC inapowaka katika Safe Diagnotics Mode. Nifanyeje ili nikiwasha iwake kawaida? Ni iset vipi?

Thanks
 
hujaeleweka mkuu,

Inamaana hiyo PC yako kila inapowaka inaingia kwenye safe mode yenyewe au wewe ndo unaipeleka safe mode inapowaka?
 
hujaeleweka mkuu....inamaana hiyo pc yako kila inapowaka inaingia kwenye safe mode yenyewe au wewe ndo unaipeleka safe mode inapowaka??

nilivyomwelewa akiwasha Computer yake inaenda kwenye Safe mode moja kwa moja nimeshampa maelekezo post namba 3
 
hujaeleweka mkuu....inamaana hiyo pc yako kila inapowaka inaingia kwenye safe mode yenyewe au wewe ndo unaipeleka safe mode inapowaka??

Ndiyo mkuu! INAPOWAKA YENYEWE INAINGIA KATIKA SAFE MODE. inachukua mda kwelikweli. Yaani unasubiria inahesabi RAM mb moja moja! Nadhani umenielewa sasa!
 
fafanua vizuri huo mfumo unayosema safemode ni ya windows au bios?

Pc ikiwashwa, kabla haijaanza kustart windows, naona kama inajikagua na inaweka maandishi 'MANUFACTURING DIAGNOSTICS MODE'. Ikishajikagua ndipo windows inastart.
 
It starts in MANUFACTURING DIAGNOSTICS MODE. How can I quit this mode so that the PC starts normaly
 
machine inapowaka huonyesha maelekezo ya namna ya kuingia kwa setup mfaano dell hupenda kutumia zaidi F2 hivyo nakushauri kuingia kwa bios setup then uchague fast boot pia nenda kwa undani zaidi ila ukijua unachofanya ku-skip hizo diagnostic process while booting
 
...this is an answer:

let me do it!
 
DANFORD PIUS HAMISI:jinsi ya kuzima computer:watu wengi wamekuwa wakishindwa kuzima computer na kuzima kwenye switch ya ukutani hili jambo ni kubwa na huleta utata na husababisha matatizo kama kuchelewa kuwaka kuwa mbovu.nk

topic:jinsi ya kuzima computer
kwa leo nitaongelea window xp kwa sababu hiyo ndiyo inatumika sana kwenye computer nyingi:
nenda kwenye upande wa kushoto chini kabisa utaona pameandikwa start click hapo alafu nenda shut down kisha nenda turn off computer.
 
Back
Top Bottom