Nifahamisheni kunako waajemi

Nifahamisheni kunako waajemi

Iran ,pia Uajemi ni nchi ya Asia ya Magharibi. Jina rasmi ya nchi ni Jamhuri ya Kiislamu ya Iran au Uajemi. Uajemi imejulikana tangu kale kama nchi iliyochangia mengi katika historia ya binadamu. Imepakana na Afghanistan, Armenia, Azerbaijan, Iraq, Pakistan, Uturuki na Turkmenistan.



Google

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom