Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Hamuezi jua mwenzenu, alikuwa bingwa wa somo la Historia😀🤒
Angekuwa bingwa kichwa yake ingekuwa inachaji 🚮
History sio vishazi wala kukariri formula za physics

Kila siku maushuzi tu yasiokwisha kunuka inahuu?

Ifike muda akafie mbele na penzi lake. Smart this Smart that.. kwa kipi?
Kitu gani asichoridhika nacho akaendelea mbele na maisha yake? Hakazwi?? Ama alisikia Smart nje kahonga nn ndo bado anakisumbukia? Uchungu gani usiomuisha siku zote hizo toka amepumzishwa mpaka sahiv anapashwa?

Toka mwaka jana mambo ni kurise na kufall 😂😂 jamani!! Em basi atumie free time zake kujifunza namna ya kucreate content mpya, mwakani hatutaki ma ujinga yake ya kufosi kufit kila topic.

Woiyee
Happy new year pals.
Sorryn bana. Dah 🤣😂😂
 
Ni tofauti, nina wakati mzuri ndio maana naandika vyema.

Mtu mwenye stress ataweza kuwaletea mathread yaliyoshiba vile? 🤣🤣🤣
Unajipa moyo hapa halafu huko unalia usiku kucha. Hebu angalia postings zangu zote ukimaliza uje tuyajenge.

Masharti yangu: hakuna umbea, hakuna publicity, hakuna kujiamulia mambo yako. Nataka nikunyooshe😂
 
Angekuwa bingwa kichwa yake ingekuwa inachaji 🚮
History sio vishazi wala kukariri formula za physics

Kila siku maushuzi tu yasiokwisha kunuka inahuu?

Ifike muda akafie mbele na penzi lake. Smart this Smart that.. kwa kipi?
Kitu gani asichoridhika nacho akaendelea mbele na maisha yake? Hakazwi?? Ama alisikia Smart nje kahonga nn ndo bado anakisumbukia? Uchungu gani usiomuisha siku zote hizo toka amepumzishwa mpaka sahiv anapashwa?

Toka mwaka jana mambo ni kurise na kufall 😂😂 jamani!! Em basi atumie free time zake kujifunza namna ya kucreate content mpya, mwakani hatutaki ma ujinga yake ya kufosi kufit kila topic.

Woiyee
Happy new year pals.
Sorryn bana. Dah 🤣😂😂
Inafu is inafu.
 
?

Eti ku rise na kufall😀😀😂, dah ko hiyo ni empire ipi😀😂🤒
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Huyu ndio yule ulimcheat akakusamehe?
 
Angekuwa bingwa kichwa yake ingekuwa inachaji
History sio vishazi wala kukariri formula za physics

Kila siku maushuzi tu yasiokwisha kunuka inahuu?

Ifike muda akafie mbele na penzi lake. Smart this Smart that.. kwa kipi?
Kitu gani asichoridhika nacho akaendelea mbele na maisha yake? Hakazwi?? Ama alisikia Smart nje kahonga nn ndo bado anakisumbukia? Uchungu gani usiomuisha siku zote hizo toka amepumzishwa mpaka sahiv anapashwa?

Toka mwaka jana mambo ni kurise na kufall jamani!! Em basi atumie free time zake kujifunza namna ya kucreate content mpya, mwakani hatutaki ma ujinga yake ya kufosi kufit kila topic.

Woiyee
Happy new year pals.
Sorryn bana. Dah
Umesamaraiz vizuri

Happy New Year
 
Back
Top Bottom