Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,737
- 2,824
Kweli wewe unafaa ukafundishe jando/unyagoMwanaume unashindwa kumfanya mwanamke akupe hiyo kirahisi una shida wewe ..........kamata huyo mwanamke msimamishe mzunguke nyuma yake simama huko nyuma mkono wakulia gusa kiuno taratibu kama hutaki kichwa chako pitisha kwa shingo yake toa pumzi Fulani amazing.... Zungusha kichwa chako hapo shingoni kwake mkono wa kushoto sogeza mpaka kwa kitovu hapo mnong'oneze sikioni maneno matamu huku unatoa pumzi ya huba shwaini hutapata shida mwenyewe ataelewa mchezo uongeze na manjonjo mengine....
Sasa kama unamshika utadhani simba anauwa swala sahau kumpata mfyuuuu hatuhitaji nguvu sisi
Maana si kwa ujuzi huo