LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
Yaani imecheka kidogo mkojo unitoke,JF bwana..raha sana!Daaaaaaaaah,
Hizi sheria bwana, sisi enzi zetu kashapigwa ngwara, yani anakuja kushtuka chupi imebaki kama dodoki la kuogea huku ukishazama ndani ndio utasnza kuona mauno yakizunguka kama feni mbovu
Ukimaliza hamsemeshani kila mmoja anapita kichaka chake, kesho utasikia ujumbe unakujia wa kukushukuru
Siku hizi yani anakuja kabisaaaaaaaa ndani na anaondoka??
Kweli sheria siku hizi na dalili za sifa za simba kula nyama aliyowinda imepotea kwa wanaume aseee