Niende s/Africa au Mauritius?

Niende s/Africa au Mauritius?

Swala la ubaguzi siyo sehem zote za r.s.a...ubaguz upo sana location ambako hakuna mchanganyiko mkubwa wa watu.sehem za mijin ni ngum sana kusikia ubaguz sabab robotatu ya wakaz ni wageni.
 
😅😅😅😅😅 ahadi. za lowasa hizo wakulima wote wataenda kutembea. mauritus na wake zao huyu baba anatuletea nchi ya yumkini anaona alivyotajiri yeye basi kila kitu kinawezekana kirahisi
 
Nenda south..
Fikia cape town 7bu miji mingine sifahamu mizunguko yake sijawahi iishi...

Kaa mbali na wabongo na wanaijeria(wapopo)......

Fikia hoteli zilizopo biavo...
Ila kama mfuko ni mnene nenda watarfront kunasehem za wanene zaid za kulala.....

Usiende kwenye vitaven vya biavo ila kale bata cape mjini....

Ukiwa airport tax drivers niwaamibivu watakutafutia sehem nzur ya kulala......

Kama utakua na peas chache tumia usafiri wa basi ambayo kihalali inagharimu rand 2000 hadi kua cape....

Ambayo utachukua bus apa Tz mpka Harare kiasi cha 1500000...randi 1000 na kutoka pale ni 900/100 to cape.....

Ukitumia usafir wa chin company ya intercape na greyhound hawatakupokea 7bu ya passport yenye jina Tanzania mnasifa ya kubeba madawa....

Safari njema
 
Acha uongo.nauli za lin hizi??
-Dar mpaka h/re ni 80000tsh
-H/re jo'berg ni 250/300.sa rand ambayo ni kama 50000tsh
-jo'berg mpaka cape ni 600rand ka intercape hzo ni bus za luxually.pia kuna bus mpaka za 400
 
Swala la ubaguzi siyo sehem zote za r.s.a...ubaguz upo sana location ambako hakuna mchanganyiko mkubwa wa watu.sehem za mijin ni ngum sana kusikia ubaguz sabab robotatu ya wakaz ni wageni.

Noted, mkuu...thanx
 
Nenda Mauritius. Na kama hujaoa hata mchumba waweza opoa huko.

Sisemi zaidi. Ila ni watu wakarimu MNO!

Dah! Mkuu umeni impress sana na hicho ki segment cha kuoa hapo...manake Niko mpweke kweli!
 
Nenda south..
Fikia cape town 7bu miji mingine sifahamu mizunguko yake sijawahi iishi...

Kaa mbali na wabongo na wanaijeria(wapopo)......

Fikia hoteli zilizopo biavo...
Ila kama mfuko ni mnene nenda watarfront kunasehem za wanene zaid za kulala.....

Usiende kwenye vitaven vya biavo ila kale bata cape mjini....

Ukiwa airport tax drivers niwaamibivu watakutafutia sehem nzur ya kulala......

Kama utakua na peas chache tumia usafiri wa basi ambayo kihalali inagharimu rand 2000 hadi kua cape....

Ambayo utachukua bus apa Tz mpka Harare kiasi cha 1500000...randi 1000 na kutoka pale ni 900/100 to cape.....

Ukitumia usafir wa chin company ya intercape na greyhound hawatakupokea 7bu ya passport yenye jina Tanzania mnasifa ya kubeba madawa....

Safari njema

Dah! Mkuu thanx for your time! Umeeleza vzr sana
 
Hapa hapa bana.........wewe tupange..........tunaweza pata company nyingine kubwa........baada ya uchaguzi watu watapenda kula bata baada ya huu mtitimtiti............

Mmh umeanza ujanja ujanja wako sio! Lol
 
Nenda Mauritius hutajuta.

Ni rahisi kupata agents wa kupokea bidhaa toka Tanzania kwenda huko.

Hakujafunguka sana kama S.A.

Watu wa kule ni wakarimu sana, unaweza ukagoma kurudi.
 
Naja mpendwa, oooh asavali na mie nkashangae wazungu

Gelofriend Najua zile camera zako zilivyo nzito +zubeda lako la nguo. Nahisi vitakushinda tu kubeba alonooo, na huwezi kumsumbua boss akusaidie kubeba. Afu me siongeagi barabarani wala kula sana, kwa hiyo sitawabugudhi safarini. Tutaenjoy kwa kweli
 
Acha uongo.nauli za lin hizi??
-Dar mpaka h/re ni 80000tsh
-H/re jo'berg ni 250/300.sa rand ambayo ni kama 50000tsh
-jo'berg mpaka cape ni 600rand ka intercape hzo ni bus za luxually.pia kuna bus mpaka za 400

Kaka achakuropoka ninaishi cape town na hio ndio naul halali ya Tz to cape bus ya company ya Falcon wanatoza dollars 100 .....

Na kama unaakili za kutumia Taqwa kumbuka haiingii harare till watakapomaliza kesi yao....

Kinachotuumiza watazania ujuaji mwingi....

Ninapozungumzia usafiri nilioanisha apo lazma ujue ukiwa na passport ya kitanzania gari za intercape na greyhounds hutopanda wachukui abiria anaeingia kutoka Tz kuelekea south.....

Naul halali ya bus kutoka jose ni 350/400...
Na kutoka jose ni 600rand ....

Kama hujui uliza mishe zangu ninapita njia hio kila baada ya wiki kadhaa....
 
Back
Top Bottom