kidonto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 2,322
- 3,599
Acha uongo.nauli za lin hizi??
-Dar mpaka h/re ni 80000tsh
-H/re jo'berg ni 250/300.sa rand ambayo ni kama 50000tsh
-jo'berg mpaka cape ni 600rand ka intercape hzo ni bus za luxually.pia kuna bus mpaka za 400
Naomba nikukosoe mkuu! Dar to Harare mwaka juzi nilienda kwa 140,000 kwa Taqwa, Na Jana nimetoka kuuliza nauli kwa Bus nikakuta imepanda, binafsi nna safari ya Lesotho naona bora nichukue flight to J'burg then nichukue Bus mpaka Lesotho...Nikichangia mada binafsi sishauri mtoa mada uende SA, ukiaccha Ubaguzi Kuna matatizo Mengi, nenda Mauritius, Namibia, Lesotho, Botswana hata Mozambique, Kuna vitu sisi tunafanya hapa huko hakuna au wanafanya tofauti, so nna uhakika ukienda Na ma idea ya kwetu hapa unapiga hela but kwa SA utaumizwa mpaka Na Watanzania wenzako ambao walishapoteza, japo wenyewe hawapendi lakini huo ndo ukweli.