fatu2010
Senior Member
- Mar 4, 2014
- 173
- 143
Igweeeeeeeeeeee!
Wadogo mambo, wakubwa shikamooni.
Nachukua nafasi hii kuomba ushauri kwenu wakaka zangu na wadada popote mlipo.
Eti jamani kati ya kwenda kusoma na kutafuta maisha (kuwa raia kabisa) wapi ni rahisi na maisha yake sio magumu? naomba na mifano ya maeneo kabisa maana hizo nchi ni kubwa sana, naimani kuwa kuna watu wako Canada na wengine wako Australia.
Asanteni sana mbarikiwe