Niende Canada au Australia?

Niende Canada au Australia?

Igweeeeeeeeeeee!
wadogo mambo, wakubwa shkamoni
Nachukua nafasi hii kuomba ushauri kwenu wakaka zangu na wadada popote mlipo. Eti jamani kati ya kwenda kusoma na kutafuta maisha (kua raia kbs) wapi ni rahisi na maisha yake sio magumu? naomba na mifano ya maeneo kbs maana hizo nchi ni kubwa sana,naimani kuwa kuna watu wako Canada na wengine wako Austrelia.

Asanteni sana mbarikiwe

Kwangu mimi nakushauri jigawe sehemu mbili kwa wakati mmoja, nusu Australia nusu canada alaf cheki kipi kitaleta matokeo mazuri
 
Wakuu nimeamua kwenda Usa tu kwa mzee Trump
 
Back
Top Bottom