Nielimisheni wana jf

Nielimisheni wana jf

jax fikrini

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
46
Reaction score
6
Naombeni mnielimishe wanajamii wenzangu,je utawezaje kupokea fedha/mzigo kutoka nje ya nchi. Naombeni kuelezewa kwa kina.
 
Tatizo ujaweka wazi sana suala lako lakini ntajaribu kukupa maelezo..kuhusu kupokea pesa kwanza unatakiwa ujue pesa imetumwa kwa kutumia kampuni gani mfano western union..money gram..wall street nk kwa western union mtumaji anatakiwa kuandika swali na jibu la siri wakati wewe mpokeaji unakwenda chukua pesa kuna namba kumi za siri unatakiwa uziandike pia watakiwa kujua lile swali na jibu la siri hivi vyote mtumaji atakwambia ili uvifahamu...pia siku hizi teknolojia imekuwa wawezatumiwa kwa m pesa toka nje ya nchi...suala la mizigo pia sijajua ni mzigo upi mtumaji anawezatuma kwa posta hivyo utaufuata posta anawezatuma kwa ndege ukafuatilia airport au kwa meli ukatafuta agent ili aufanyie clearance pale bandarini...weka wazi suala lako +971504374387 dubai
 
Ahsanteni japo kwa hayo,ni kwamba nina rafiki yangu aliekua mkimbizi katika kambi za nyarugusu,kasulu alibahatika kuchukuliwa na sasa yupo america ninawasiliananae kwa barua pepe,ninatamani nimuombe msaada wowote ule nashindwa jinsi ya kuanza nisaidieni wana jf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom