WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Naomba Nieleweke Hivi, Cjaja hapa Jamvini Kuja Kuleta Story Za Uongo Au Kufurahisha GENGE, Nimekuja Hapa Kwasababu Najua Kuna Watu Wazima Ambao WanaAkili Timamu za kuweza kunipa Msaada Wa Ushauri Na Mawazo pia, Na Kila Ninachoandika ni Historia yangu ya Ukweli ambayo imenitokea katika Maisha yangu, ivyo Nakuwa nahitaji Msaada Kutoka Kwenu Nyie WanaJamvi , Sasa Unakuta Mtu Anakukashifu badala ya kukupa ushauri ,.iyo Sio Tabia nzuri, Nikiwa kama Kijana Mwenzenu Nahitaji kushauriwa na kukosolewa Pale Ninapokuwa Nimekosea, Sio Matusi na Kukashfu. MNIELEWE IVYO MIMI NI TU MSTAARABU SANA NA NINAYEPENDA KUTHAMINI MICHANGO YA WATU MBALIMBALI KATIKA JAMII YE2. NAWASILISHA