Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,070
Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee
Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama akinikubali aisee na huyu pisi dadake alimpost status ndipo nikasema mimi naingia hapa hapa aisee dada yake akinitumia namba yake na niliweza kuchati nae through massage ila sijamchana so nasubiri nimchane through call na nataka nimtongoze kupitia call sasa sijajua nimwambie maneno gani ili alainike nimuweke kwenye laini
Wakuu "MSAADA" wenu aisee nimwambie maneno gani aisee? "Please please please" wakuu