nielekezen kariakoo ilipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nielekezen kariakoo ilipo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yaser, Aug 21, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  jaman km mnavyoona ktk heading hapo,nko dar ila hii sehem siijui naomben mnielekeze kwa anayefaham.
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hapo ulipo kata kulia then uende mpaka kwenye lile ghorofa palee gari linakopita, ingia kile kichochoro cha kushoto halafu nyoosha moja kwa moja utakuta watu wengi we wapite nenda mbele kidogo ingia kulia magari yanakopita then mbele kidogo umefika.
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  panda gari zimeandikwa BUMBULI...mwisho wa gari ndio kkoo!
  BTW karibu mjini...
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huo mtaa unaomuelekeza ww haupo dar
  ni arusha iyo.
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  we ni wa jinsia gani?? nikutafutie company haraka!
   
 6. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Bwana wasikuzingue, hao kwanza hawako dar hao ni jamaa wa KILINDI mtaa wa NGOPYOLO, sasa popote ulipo ulizia kituo chochote cha daladala apo panda gari lolote liliandikwa kariakoo na uliza liwe lnaenda kariakoo uko utafika.
   
 7. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Acha kumdanganya mwenzako.

  Panda gari zimeandikwa Samvu La Chole,nenda nalo hadi mwisho,ukishuka ulizia K'koo.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1: umenivunja mbavu....daah humu ndani u guys amaze me alot...ila nakutaarifu ukifika kariakoo kama umevaa vigold gold au una kaji blackberry/iphone ujue utakibakiza huko
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  na wewe ndio umekwisha kabisa...
  huko samvu la chole atazunguka sana,
  bora achukue za VISEGESE via TONDORONI
  acheni kumzingua mwenzenu..anasubiri atii
   
 10. W

  Wajad JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,124
  Likes Received: 294
  Trophy Points: 180
  Nenda kituo chochote cha polisi, sema unataka KOVA utapelekwa hadi kariakoo.
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh.....mbona utajuta kuuliza....
   
 12. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Hapana TONDORONI kuna vibaka sana labda apande la PUGU KAJIUNGENI ashuke kwa VIWAWA,
  au apande la UBUNGO ashuke Kwa MTOGOLE.
  Kisha aulizie K'KOO.
   
 13. m

  muhanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mbona ezy ana kufika kariakoo, yaani wewe nenda uelekeo huo huo wa kariakoo, ukifika maeneo hayo ya kariakoo endelea mbele mbele hivi ukifika maeneo ya kati pale kwenye magari magari na maduka hiivi na watu wengi wengi, basi kulia kwako na kushoto kwako, mbele na nyuma yote hiyo ndio kariakoo yenyewe, karibu kariakoo mwaya utawakuta wenyeji teele
   
 14. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,360
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mnamdanganya mtapata dhambi nyie, kwani mnajua yuko dar sehemu gani? Wewe kijana fuata ushauri wangu hapo juu. Period!
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,072
  Likes Received: 6,536
  Trophy Points: 280
  kwa ugeni huo nina hakika watakupiga sachi tu,
  hapa mjini watu wanatoka home alfajiri na wanawasubiria watu kama wewe ili waweze kupata mkate wa siku,
  na akirudi home watoto wanasema dingi katoka kazini.
  pole sana kwa yatakayokukumba huko k'koo.
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Panda basi yeyote vaa saa yako nzuri uweke kishoka mkono unachungulia nje. Ukiona saa imeondoka kimazingaombwe ujue umeshafika, shuka hapo hapo.
   
 17. M

  MWAKOLO JF-Expert Member

  #17
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu mwambie achat na cm njenje atakachokiona atakuwa ndio jibu lake
   
 18. d

  danizzo JF-Expert Member

  #18
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Apo nyuma kwenye nyumba yenye paa la nyasi
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Aug 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  piga mbizi mpaka kibada, ukifika waulize wapitanjia kariakoo wapi watakuelekeza
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Aug 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  mkuu wewe upo pande zipi? mia
   
Loading...