Uko sahihi japo umekosa uzalendo; Mi nliambiwa Jeshin nidham kwanza, sasa majeshi yanabaka raia hadi JWTZ nao..! Wananyan'ganya watu mali zao...??? UPDF waliwauzia slaha waasi Somalia, KDF wakasachi wahanga wa Westgate.! sa JWTZ wametia aibu. Naomba wataalam jeshin mtueleze hili limetokeaje kama nidham iko mbele.
mmesahau hawa askari wanatokea ktk jamii zetu hivyo kama hawana maadili ni jamii ndio ya kulaumiwa vinginevyo mtalialia humu na mkiingia kwenye anga zao mtakula kisago tu afu hakuna wa kuwasikilizaNi tanzania tu mtu kama pinda anaweza kuundelea kuwa waziri mkuu
nenda kawaulize mtwara gas inatoka au haitoki? wamekula stick na ubishi sasa mvukon chezea hata ukilia lia humu haisaidii nyambafuHili
suala la majeshi,serikali imelilea sana sana sana,sasa naona serikali
inajibaraguza tu,,,,wanajeshi na polisi wengi wao ni mafedhuli sana,tena
sana,polisi wauaji sana tu,hata hao magereza enzi ya mapuri walipiga
hovyo watu
Nidhamu inayozungumzwa jeshini ni kutii maagizo kutoka juu na sio nidhamu ya kukujali wewe raia. Ni heri ukutane na dubu wenye njaa kali kuliko kukutana na JWTZ mitaani wakigombea malaya. Kama ulikuwa hujui hilo, ndio hivyo.
nenda kawaulize mtwara gas inatoka au haitoki? wamekula stick na ubishi sasa mvukon chezea hata ukilia lia humu haisaidii nyambafu
nenda kawaulize mtwara gas inatoka au haitoki? wamekula stick na ubishi sasa mvukon chezea hata ukilia lia humu haisaidii nyambafu