NIDA

NIDA

TYPIN ERRAH

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
43
Reaction score
24
Habari wakuu nina changamoto ya nida majina yangu yanatofautiana jina la mwisho lakin mimi ni mtumishi nikienda kuapdate taarifa bank wanasema NIDA ina majina tofauti na bank kwa sababu ya jina moja tu la mwisho ila upanxe wa utumishi hakuna shida kabisa. Sasa kuna kipindi walinielekeza niombe kibali kwa katibu mkuu utumishi wa umma, nikafanya hivyo tangu mwezi wa 10 mwaka jana mpaka leo kibali bado sijapata... sasa hii mbona imechukua muda mrefu sana? Wadau kama kuna mtu anajua namna ya haraka ili niweze kufanyiwa marekebisho ya haraka naomba anielekeze hapa JF
ASANTENI
 
Kwanini usiendee NiDA ukabadili taarifa zako. Nida wakishabadili kwenye mfumo utakuwa hupati shida tena maana taarifa zako zote zitakuwa zinafanana.
 
Back
Top Bottom