NIDA rekebisheni haraka ID verification portal kupata ID No

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,676
Reaction score
14,360
Kwasasa kuna misongamano mikubwa ofisi za NIDA wananchi waliojiandikisha wanafuatilia No zao

Chakushangaza National Id Verification Portal ilizinduliwa kwa mbwembwe kusaidia raia kuangalia No zao kupitia simu zao au website haifanyi kazi

Kila ukiingiza details unapata majibu fika ofisi za NIDA ulipojiandikisha

Hii ndio njia sahihi kwa sasa kuepusha msongamano ofisi za NIDA
Vinginevyo sioni uwezekano wa zoezi kukamilika baada ya siku 20 alizo ongeza mkuu hata kama raia atakua amemaliza zoezi la uandikishaji NIDA
 
WTF.! kwahy kama ulijisajili Mbeya na sasa upo Arusha, itabidi urudi Mbeya.?
Majibu
Screenshot_2019-12-30-08-33-40.jpeg
 
Kwasasa kuna misongamano mikubwa ofisi za NIDA wananchi waliojiandikisha wanafuatilia No zao

Chakushangaza National Id Verification Portal ilizinduliwa kwa mbwembwe kusaidia raia kuangalia No zao kupitia simu zao au website haifanyi kazi

Kila ukiingiza details unapata majibu fika ofisi za NIDA ulipojiandikisha

Hii ndio njia sahihi kwa sasa kuepusha msongamano ofisi za NIDA
Vinginevyo sioni uwezekano wa zoezi kukamilika baada ya siku 20 alizo ongeza mkuu hata kama raia atakua amemaliza zoezi la uandikishaji NIDA
sioni kama kuna umuhimu kuwa na hii ofisi
 
hii changamoto siielewi jamani
Screenshot_20200108-181626.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni makusudi au vioi , mbona sielewi yanayofanyika kwa hawa jamaa
 
Kwanza vi server vyao vimeshazidiwa yani mpaka ifunguke ni umekaa hadi umesahau
 
Jpm ombi langu kwako NIDA NI JIPU LILILOIVA NI LA KUTUMBUA haiwezekani kwenye mambo ya msingi wanaleta siasa,, mfumo wa kuangalia kwenye simu ni utapeli mtupu,,, Kama kuna alifanikiwa kuangalia kwa mfumo huo aje hapa atoe ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
s

sio utapeli inategemea na taarifa zako kama haziko sahihi hawawezi kukupa online copy
 
Najaza kwa usahihi na taarifa sipati
Hifanyikazi hiyo portal yao kwa sasa
Ilibidi nifunge safari kurudi nilipojisajili ndio nikapewa namba
Lakini hata sasa nikiingiza taarifa namba haiji
 
Back
Top Bottom