Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,152
- 2,299
Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho
Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka serikali za mitaa (Moya ya uamuzi wa hovyo zaidi) sababu nilienda mara ya kwanza wakasema sio vyote vimeletwa nirudi baada ya wiki mbili, nikarudi tena wakasema bado, nikarudi tena wakasema bado ila kama unahela tunaweza mtuma mtu akakufatie
Seriously haki yangu mpaka nitoe pesa nikasema ilimradi havipotei ngoja nisepe, kwenda tena wanasema vimerudishwa Nida kawe pale wanasema mpaka uwe na meseji, meseji ipi ya nini?, kwanini?
Ona sasa ninashida sana na hiki kitambulisho ili kukamilisha KYC ila ndo hivyo sina
Cha kula sitaki hata kusikia watu nyomi niache kutafuta ela ya familia nikapange foleni
Ila hii ni jambo la ajabu sana mamlaka jishikilieni sana, NIGANYAJE NANI ANAWEZA NISAIDIA?