...Wengi tu, Mkuu! Tumeambulia tu namba. Kitambulisho had I kesho...kesho...na Kesho!!
NIDA na ndugu zao uhamiaji ni taasisi zinazochangia kuwaumiza watanzania sana. bora yako wewe umejiandikisha mwaka jana. Mimi nilijiandikisha mwaka juzi. Majina yalipobandikwa kuhakiki kama umejiandikisha jina langu lilikuwepo na picha. Namba zilipotoka yangu haikuwepo ikabidi nirudie kujiandikisha walipopita awamu ya pili. Mpaka sasa ni miaka miwili wananiambia taarifa zangu hazijakamilika nitembelee ofisi zao. Niliona ni upuuzi wanaotaka kuufanya maana ukienda ofisini wanataka mpaka vyeti vya wazazi au namba zaoza nida, inamaana waliopoteza wazazi kabla ya zoezi la uandikishaji (hasa vijijini ambako hata vyeti vya kuzaliwa wengine hawaoni umuhimu) hawawezi kupata huduma? Watasema uende ukaape, hv mtu anayehangaikia mkate wake wa kila siku akiwa haijui kesho yake aanze kukopa pesa za kufanyia mizunguko yote hiyo kisa namba? Kuna wapuuzi wengine hukuuliza mpaka sababu ya wewe kuhitaji kitambulisho na usiombe ukasema unataka kwaajili ya pasport.Wanajamii, binafsi nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili kama wao. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;
1. Kutoa namba sidhani kama mtu ndo anapanga hizo namba, ni computer na hata wangetumia computer ya kwanza kuvumbuliwa bado wasingekuwa na spidi ndogo kiasi hiki.
2 Kuhakiki taarifa, mpaka mtu unapigwa picha fomu zako zinakuwa zimekidhi vigezo, kusema wanahakiki sina imani kama wanafuatilia mtu mmoja mmoja kulingana na taarifa alizojaza.
3. Nina imani mashine inayotoa namba ni tofauti na inayochapa vitambulisho sasa nashindwa kuelewa kwa nini utoaji namba uzuie uchapaji vitambulisho.
Mwisho kabisa kauli inayokera wanakuuliza kama umesajili laini ukisema ndiyo wanakuambia sasa we kitambulisho una haraka ya nini, yaani binafsi nimejionea kuna watu ni wajinga na wamepewa mamlaka kuhudumia umma. Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi wanataka waone ID ukisema una namba wanasema hawana access NIDA kuhakiki namba yako.
Lissu akiliongelea ili swala la vitambulisho kwenye kampeni zake, ndani ya wiki moja Watanzania wote tutaambiwa vitambulisho vipo tayari....Wengi tu, Mkuu! Tumeambulia tu namba. Kitambulisho had I kesho...kesho...na Kesho!!
po NIDA ni hovyo kabisa kutakuwa na mradi wa mtu.Wanajamii, nafikiri wafanyakazi wa NIDA wanachukulia watanzania hatuna akili. Binafsi nimejiandikisha tangu mwaka jana mwezi wa 3 lakini kila nikifuatilia kitambulisho naambiwa kwa sasa wanatoa namba tu vitambulisho wamesitisha. Kwa akili ya kawaida huu ni upumbavu uliokithiri kwa sababu;
1. Kutoa namba sidhani kama mtu ndo anapanga hizo namba, ni computer na hata wangetumia computer ya kwanza kuvumbuliwa bado wasingekuwa na spidi ndogo kiasi hiki.
2 Kuhakiki taarifa, mpaka mtu unapigwa picha fomu zako zinakuwa zimekidhi vigezo, kusema wanahakiki sina imani kama wanafuatilia mtu mmoja mmoja kulingana na taarifa alizojaza.
3. Nina imani mashine inayotoa namba ni tofauti na inayochapa vitambulisho sasa nashindwa kuelewa kwa nini utoaji namba uzuie uchapaji vitambulisho.
Mwisho kabisa kauli inayokera wanakuuliza kama umesajili laini ukisema ndiyo wanakuambia sasa we kitambulisho una haraka ya nini, yaani binafsi nimejionea kuna watu wasiofaa wamepewa mamlaka kuhudumia umma. Sasa hivi kuna baadhi ya taasisi wanataka waone ID ukisema una namba wanasema hawana access NIDA kuhakiki namba yako.
M tangu 2015 wananizungusha tuNIDA na ndugu zao uhamiaji ni taasisi zinazochangia kuwaumiza watanzania sana. bora yako wewe umejiandikisha mwaka jana. Mimi nilijiandikisha mwaka juzi. Majina yalipobandikwa kuhakiki kama umejiandikisha jina langu lilikuwepo na picha. Namba zilipotoka yangu haikuwepo ikabidi nirudie kujiandikisha walipopita awamu ya pili. Mpaka sasa ni miaka miwili wananiambia taarifa zangu hazijakamilika nitembelee ofisi zao. Niliona ni upuuzi wanaotaka kuufanya maana ukienda ofisini wanataka mpaka vyeti vya wazazi au namba zaoza nida, inamaana waliopoteza wazazi kabla ya zoezi la uandikishaji (hasa vijijini ambako hata vyeti vya kuzaliwa wengine hawaoni umuhimu) hawawezi kupata huduma? Watasema uende ukaape, hv mtu anayehangaikia mkate wake wa kila siku akiwa haijui kesho yake aanze kukopa pesa za kufanyia mizunguko yote hiyo kisa namba? Kuna wapuuzi wengine hukuuliza mpaka sababu ya wewe kuhitaji kitambulisho na usiombe ukasema unataka kwaajili ya pasport.
Kampeni zimeanza lini na watu walijiandikisha lini?Hawana bajeti,pesa zimeenda kwenye kampeni