Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

Nick wa pili karusha dongo kwenye chama fulani

Niki minaji wa pili ni mweupe kichwani kiasi hichi.Anajifanya msomi lakini hajamzidi lipumbavu.
 
Mi nilianza kumshangaa kujiita sweet alafu huyu jamaa apungunze kujikomba alafu elimu Allyonayo ya kawaida sana kama anataka UDC aseme
 
Atakaye mind ndiyo chama chake. . Bora mi najifanya sijaelewa
 
Uelekeo wa usomi wake ni uprofesa wa lipumba,kashindwa kujitambua anatumika fiesta kwa malipo finyu,msomi hewa huyu jamaa
mkuu kwani kaongea uongo...m naona kuna kaukweli...
 
Tafsiri nyepesi:
*Chama kinachotawala miaka yote (CCM)
*Anaechukia chama minachotawala miaka yote (UPINZANI)
*Mwenyekiti yule yule miaka yote (Mh MBOWE/ Prof LIPUMBA)
Mrema? Cheyo? Devutwa? au hawa ni wenyeviti wadogo wa chama tawala?
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu....🙄 kijana ameitendea mema sanaa kila mtu anatafsiri kivyake
 
Back
Top Bottom