Si DJ na wewe....!!!mkuu hebu nieleweshe na mimi amemaanisha mwenyekiti gani kwani?
kwan analipwa shilling ngapi kwa show moja ya fiesta??Uelekeo wa usomi wake ni uprofesa wa lipumba,kashindwa kujitambua anatumika fiesta kwa malipo finyu,msomi hewa huyu jamaa
We jamaa umenichekesha sana. Umefanya hiyo comment yako niipeleke kwenye picha yan kama nakuona unaongea vile!Si DJ na wewe....!!!
Kakugonga kichwani paaa!Uelekeo wa usomi wake ni uprofesa wa lipumba,kashindwa kujitambua anatumika fiesta kwa malipo finyu,msomi hewa huyu jamaa
kivipiKakugonga kichwani paaa!
Halafu wanaotoa mapovu wana mlengo wa chama fulani!sasa hapo ndo utaona tofauti ya tahiiiira na chizi,hajataja chama ila watu mapoooooovu,kwani chama chenu huwa hakibadilishi mwenyekiti??kwanini??
Jinsi ulivyotoa povu.kivipi
jambo lipo wazi nawamsema nickHalafu wanaotoa mapovu wana mlengo wa chama fulani!