Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 968
- 1,354
Kwa%100 wewe utakua ni mtoto wa mkulima peasant.Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and Entomology
2. Molecular biology and Biotechnology
3. Cell biology and Genetic
4. Developmental biology
5. Ecology
6. Environmental science
7. Vertebrates Biology
LENGO LANGU KUU NIKUA ASSISTANT LECTURER KWAHYO NAOMBA USHAURI WENU TUKIZINGATIA SOKO NA MAHITAJI
ASANTENI
Kabsa ujakoseaKwa%100 wewe utakua ni mtoto wa mkulima peasant.
DuhNikushauri usisome maaana ujui unataka nini kwa sababu ya nini
Ujakosea, na uwe mwalimu wa waTanzania? Hujakosea ni neno sahihiKabsa ujakosea
Wote tukiwa madokta WATOTO watafundishwa na nani?Aisee, ndoto za kuwa mwalimu?
Ndo hvoUjakosea, na uwe mwalimu wa waTanzania? Hujakosea ni neno sahihi
Veterinary medicine inahusiana vipi na masters ya parasitology, mbna unalopokwa?hujapiga veterinary medicine na bado unataka masters ya parasitology ikupe nafasi ya kulecture kweli? jitafute kwanza upate uelekeo.....to be honest kufanya masters kabla hujapata ajira aukafanya kazi iwe private au serikalin huwezi jua hasa unachokisomea kinakupeleka wapi
kama unaham ya masters tafuta ya hizo hizo education itajakubeba mahala
Mkuu acha hii kitu acha kabisa..Mwache jamaa akasome masters kama ana nia ya kufanya hivyo.Nina jamaa yangu miaka miwili nyuma alimaliza bachelor ya ualimu kama huyu kijana na akaunga masters bila kupoa.Wakati yupo chuoni wakatangaza nafasi za tutorial akapewa kipaumbele,na sasa ameshapandishwa kua assistant lecturer na amepewa barua ya kwenda kusoma PHD nchi yoyote ndani ya miaka mitatu.Yani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako
Ni aibu sana kuwa na elimu kubwa ambayi ujaitumikia
Ni aibu sana kujiita mwalimu wakati huna wanafunzi na maana ujawahi fundisha mwanafunzi, yani uko mtaani hakuna mwanafunzi wenye cheti ambaye anajua kabisa hii alama ya A ya Biology ni mchango wa mwalimu X
Pambana mwana, dah hiyo kazi hata ungekua Prof ni kama ina ‘kalaana’ fulani hivi.Wote tukiwa madokta WATOTO watafundishwa na nani?
Asante kakaMkuu acha hii kitu acha kabisa..Mwache jamaa akasome masters kama ana nia ya kufanya hivyo.Nina jamaa yangu miaka miwili nyuma alimaliza bachelor ya ualimu kama huyu kijana na akaunga masters bila kupoa.Wakati yupo chuoni wakatangaza nafasi za tutorial akapewa kipaumbele,na sasa ameshapandishwa kua assistant lecturer na amepewa barua ya kwenda kusoma PHD nchi yoyote ndani ya miaka mitatu.
Ndio hivo kila mtu na anachokipendaPambana mwana, dah hiyo kazi hata ungekua Prof ni kama ina ‘kalaana’ fulani hivi.
Unauhakika sjawahi fundisha na sjui nature ya wanafunzi au unaongea Kwa jinsi unavofikiriaYani huna experience yoyote ya wanafunzi na kujua changamoto za uwalimuna kuzitatua unaenda kusoma masters aisee nakushauri nenda kafundishe kwanza at list miaka mitatu ujue uhalisia wanafunzi wa tanzania na changamoto zao kisha ndio uende kusoma hiyo masters yako
Ni aibu sana kuwa na elimu kubwa ambayi ujaitumikia
Ni aibu sana kujiita mwalimu wakati huna wanafunzi na maana ujawahi fundisha mwanafunzi, yani uko mtaani hakuna mwanafunzi wenye cheti ambaye anajua kabisa hii alama ya A ya Biology ni mchango wa mwalimu X
parasitology, the study of animal and plant parasitism as a biological phenomenon. Parasites occur in virtually all major animal groups and in many plant groups, with hosts as varied as the parasites themselves.Veterinary medicine inahusiana vipi na masters ya parasitology, mbna unalopokwa?
Na bila kukupesa macho ametoka kwenye umaskini mkubwa Sana huko kwao na hata Hilo wazo la kusoma masters kwake ni ndoto ya kutisha (ghost nightmare)Kwa%100 wewe utakua ni mtoto wa mkulima peasant.