Nichukue ipi kati ya Ractis, IST au Runx?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,972
Wadau msaada tutani wadu.
Nataka ninunue kagari kadogoo ambako hakatonisumbua sana kwenye running cost.
Naomba kujua kati ya vigari tajwa hapo juu. Ni kipi ambako kinafaa zaidi katika term hizi
1.Uimara
2.Utumiaji mzuri wa mafuta
3.Urahisi wa spea
4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani speeding haswa kwa ruti ndefu za mikoani.
Naomba kuwasilisha wadau
 
Zote mie naziona zipo sawa....ingawa kwa case ya fuel labda ist..ingawa tofauti itakuwa ni ndogo sana
 
Sikushauri. badala yake chukua toyota brevis

37748.jpg
 
Ist ama runx ndo best option kwa mtazamo wangu
 
Wadau msaada tutani wadu.
Nataka ninunue kagari kadogoo ambako hakatonisumbua sana kwenye running cost.
Naomba kujua kati ya vigari tajwa hapo juu. Ni kipi ambako kinafaa zaidi katika term hizi
1.Uimara - Hili mafundi watajua zaidi
2.Utumiaji mzuri wa mafuta
3.Urahisi wa spea
4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani speeding haswa kwa ruti ndefu za mikoani.
Naomba kuwasilisha wadau

1.Uimara - Hili mafundi watajua zaidi

2.Utumiaji mzuri wa mafuta - Hili una ku google ukapata jibu la uhakika

3.Urahisi wa spea - Hili mafundi na maduka ya spare parts utapata jibu muafaka

Naomba kuwasilisha wadau - Hili lipo inversely proprtional na number 2. Itabidi uchague mmojawapo
 
humu ndani kuna mafundi na wauzaji wa spea na kuna watu wenye experience ndo mana akaulizia humu...kwani unafikiri hajajua yote hayo??
 
Jf raaaha.
 
I am entitled to my opinion as much as you are entitled to yours.

Humu atapata lakini hizo ni options nyingine. Humu kuna watu wanajua kila kitu.
 
kamata IST saizi jamaa yard wanapiga milioni 12.5 mi nimevuta kamoja miezi mitatu imepita si haba nakula nchi tu na magufuli
 
Wadau msaada tutani wadu.
Nataka ninunue kagari kadogoo ambako hakatonisumbua sana kwenye running cost.
Naomba kujua kati ya vigari tajwa hapo juu. Ni kipi ambako kinafaa zaidi katika term hizi
1.Uimara
2.Utumiaji mzuri wa mafuta
3.Urahisi wa spea
4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani speeding haswa kwa ruti ndefu za mikoani.
Naomba kuwasilisha wadau

wewe mwanamke au mwanaume?
 
Back
Top Bottom