Nichukue ipi kati ya Ractis, IST au Runx?

Nichukue ipi kati ya Ractis, IST au Runx?

Mi IST yangu iko njiani from Japan. Nimeagiza mwa dollar 2200. Nasubiri bandarini wanitandike kodi watavyo wao.

Umetisha mkuu... Kamata hyo gari hutajuta, mi nnayo more dan 2yrs bado ipo mwakemwake..
 
Ractis ya kike zaidi bora hata ist. Bora achukue runx maaana ile ni sawa na corola 110 utofauti ni body tu.ist yeboyebo sana mjini
ye hajataka uyeboyebo kataka ubora utumiaji mzuri wa mafuta na matumizi kwa ujumla.

hapa ndipo napopatashida na baadhi ya watu unataka kitu uwe nacho peke yako utakipata wapi duania hii.
basi achukue hammer ama BMW 7series ndio chache bongo ambazo nazo baada ya muda zitakuwa yeboyebo tu.
 
chukua RunX mjomba iko na body design nzuri yani hata ukiitia rims na spoiler inakaa mzuka zaidi na iko more powerful zaidi kuliko hizo zingine!
 
Last edited by a moderator:
ye hajataka uyeboyebo kataka ubora utumiaji mzuri wa mafuta na matumizi kwa ujumla.

hapa ndipo napopatashida na baadhi ya watu unataka kitu uwe nacho peke yako utakipata wapi duania hii.
basi achukue hammer ama BMW 7series ndio chache bongo ambazo nazo baada ya muda zitakuwa yeboyebo tu.
Inaelekea unamiliki ist wewe. Kama ishu ni mafuta. Harier hybrid inatumia mafuta kidogo kuliko hiyo ist
 
Runx/Allex ndio gari ya ukweli kwani ime jengwa katika platform ya corolla,engine ni ya corolla pia halafu ni hatchback.Yangu inatimiza mwaka december na haijawahi sumbua hata kidogo na nimepiga nayo route ya Dar/Mbeya zaidi ya mara 10.
 
Sorry mkuu kuna mtu kanishauri kuwa ractis iko poa atakuwa ameniongope AU NIPe ushauri au vipi kuhusu toyota raum?
 
Sorry mkuu kuna mtu kanishauri kuwa ractis iko poa atakuwa ameniongope AU NIPe ushauri au vipi kuhusu toyota raum?
Ractis naona kama ni gari ambayo wabongo wame ichangamkia sana Kwa sasa may be Kwa sababu zina engine ndogo kuanzia cc 1350 - cc1600 ika sizijui vizuri Kwa hiyo siwezi kuziongelea sana. Ila sijavutiwa na shape yake, raum nzuri pia lakini usisahau ina milango ya ku-slide nyuma kama hiace.
Mwisho wa siku ni wewe roho yako inataka nini, pita kwenye website ya beforward na sbt Japan halafu angalia gari tofauti ambazo wewe unataka nafsi yako ikiridhika nunua uipendayo.

Kuna vitu vya kuangalia pia, ina air bag ngapi, gear leaver iko sehemu gani Kwa sababu wengine hawapendi zikiwa karibu na steering wanataka iwe Chini. Hizo raum, allex-runnix, Ractis Kuna nyingine ni all wheel drive, two wheel drive una angalia ungependa ipi. Pia unaweza check Google kuna site zinachambua magari na ubora wake, andika jina la gari na mwaka ilio tengenezwa halafu unamalizia na neno review kisha search.
Utapata tu gari utakayo ridhika nayo, all the best.
 
search ist four wheel d,mi nilikipata hcho ni namba cb... Dah kiko safi mno.
 
Jamani kuna hii ngoma huwa ni kali na ina matumizi mazuri ya mafuta lakini wabongo hawaipendi sana sijui kwanini?
 
Attachments

  • 1461306566748.jpg
    1461306566748.jpg
    33.3 KB · Views: 178
Ngoma ni toyota corolla 1NZ-FE vvti cc1496
 
Attachments

  • 1461306909295.jpg
    1461306909295.jpg
    33.3 KB · Views: 150
Back
Top Bottom