Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,775
Malizia nyumba yako kwanza ndiyo ufikirie kununua gari
Mkuu kuna variations ya priorities..mi nimeanza usafiri then nyumba baadae..kupanga ni kuchagua!

Ulijifunzia wapi ujinga!? Kama huna majibu ya swali lake si ufumbe hilo Domo lako.1.Uimara - Hili mafundi watajua zaidi
2.Utumiaji mzuri wa mafuta - Hili una ku google ukapata jibu la uhakika
3.Urahisi wa spea - Hili mafundi na maduka ya spare parts utapata jibu muafaka
4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani speeding haswa kwa ruti ndefu za mikoani.
Naomba kuwasilisha wadau - Hili lipo inversely proprtional na number 2. Itabidi uchague mmojawapo
Ulijifunzia wapi ujinga!? Kama huna majibu ya swali lake si ufumbe hilo Domo lako.
1.Uimara - Hili mafundi watajua zaidi
2.Utumiaji mzuri wa mafuta - Hili una ku google ukapata jibu la uhakika
3.Urahisi wa spea - Hili mafundi na maduka ya spare parts utapata jibu muafaka
4.Car handling/Utumiaji barabarani yaani speeding haswa kwa ruti ndefu za mikoani.
Naomba kuwasilisha wadau - Hili lipo inversely proprtional na number 2. Itabidi uchague mmojawapo
Mhhhh we kiboko![/QUOTE
Ni kwa nia nzuri kabisa. Kwamba pamoja na mawazo ya hapa JF, aangalie pia upande wa pili.
Sikushauri. badala yake chukua toyota brevis
![]()
humu ndani kuna mafundi na wauzaji wa spea na kuna watu wenye experience ndo mana akaulizia humu...kwani unafikiri hajajua yote hayo??