Nichague Perfume ipi kati ya hizi?

Kati ya hizo creed siijui harufu take!!!
ila Kwa hizo zingine TOM FORD is the best....... Napenda sana mkaka awe ananukia hivyo

Mkuu naomba unfahamishe imesimama bei gani, niyatumie maana nakereka sana hapa nyumbani nikinunua mafuta mapya na perfume mpya na wengine nao wananunua hayo hayo yaan ni mwendo wa kuniiga,
 
Kwanza ningeenda na
Creed aventus halafu Invictus
Hizo nyengine sijui mpango wake.
Ukiweka cologne ya Creed aventus au Angel ina chapa ya star. Mziki wake si wa kitoto bei zake tu kuazia Tzs 450,000.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Dubai Duty free nimepulizia adi kwenye nguo zangu kwenye bag nimewambia nina fika kwanza macedonia nilirudi ndio nitanunuwa!
 

Ziko Tomford nyingi lakini kuna tatu kali, Ombre, hiyo ya black orchid na Noir.

Tomford Ombre Leather ni nzuri kwani waweza kutumia wakati wowote ule

Black orchid na Noir ni za mtoko mida ya jioni.

Hivyo kwa matumizi ya kila siku, nenda na Tomford Ombre Leather.

NB: Wapuliza pigo moja la nguvu sehemu upendayo halafu unatulia kisha waongeza dozi ingine na waacha itulie kwenye ngozi.

Usifikinye au kusugua unakuwa unaharibu mpenyo wake wenye ngozi.
 
umetisha mzee baba
Kama unapitaga pande hizo usione aibu kuwa kama wazungu ongea kama vile bado hujazikubali adi ukajiridhishe pia usiache kumwambia mke wako amekuambia kuhusu hii kitu ni nzuri sana ila hutaki kuacha unayotumia adi upate uhakika!
Wana wekaga moja kwa ajili ya watu kama sisi ondoa hofu tu usiangaliye nyingine lenga moja na ukisha puliza kila mahali usigeuge endelea sehemu nyingine! Mwambie kweli imeanza kuni tamanisha ila ngoja nirudi nita kuwa na jibu la ukweli! Ila usikubali ata siku moja wakupulizie kwenye mkono au vikaratasi! Wambie nimejipulizia ya ghali sana!
 

Shida yote ya nini hiyo,kama kitu umetest na umeona ni kizuri kunjua wallet ununue.unachokisema ni kama kutaka kulewa kwa pombe za kutest pale Ataturk airport
 
Matayarisho ya kuhesabiwa?
 
Shida yote ya nini hiyo,kama kitu umetest na umeona ni kizuri kunjua wallet ununue.unachokisema ni kama kutaka kulewa kwa pombe za kutest pale Ataturk airport
kuna watu tuna penda kuhakiki mkuu tukirudi ndio tuna malizana nao!! Unakuja apo kama nafsi imesema ndio una mwambia nipe 2zangu na 2 za wife,
ni kasumba tu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…