Nice Dress

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
11,781
19,326
707ec29090d56571efe31eff70eb7277
 
kama wameanza kuvaa hivi basi waruhusu na sheria ya kubaka...!
maana wanatafuta wanachokitaka
 
Hee hee hee, maajabu ya wapi hayo Arabuni? Yaani mtu avae nguo yake tu wewe upewe ruhusa ya kumbaka? Jesus Muhamad Bhudha astafilula
 
kuna sababu gani ya kuvaa nguo kama hiyo yenye kuonesha mpk sehemu nyeti wakat wengine tunahisia za karibu kama kuku..
 
kama wameanza kuvaa hivi basi waruhusu na sheria ya kubaka...!
maana wanatafuta wanachokitaka
Umeambiwa mwili wake uliumbiwa kukustarehesha wewe? Avae akiangalia utamtamani au la?

Acha mawazo ya kinyani nyani
 
basi kuwepo kwa joto faida kwetu wabakaji

Mkuu acha kabisa hizo habari, nasikia ukienda gerezani na kesi ya kubaka wahuni hawakuachi, na wewe lazima wakubake
 
Umeambiwa mwili wake uliumbiwa kukustarehesha wewe? Avae akiangalia utamtamani au la?

Acha mawazo ya kinyani nyani
wewe kuna sehemu nyengine kuzionyesha sio zinaleta mishituko ya kimahaba na kupelekea mtu kuanza kutamani mieleka ya kitandani
 
Mkuu acha kabisa hizo habari, nasikia ukienda gerezani na kesi ya kubaka wahuni hawakuachi, na wewe lazima wakubake
kama sheria ya kuzuia kubaka ipo basi waweke na sheria ya kuzuia mtu anaeleta vishawishi vya kubakwa
 
wewe kuna sehemu nyengine kuzionyesha sio zinaleta mishituko ya kimahaba na kupelekea mtu kuanza kutamani mieleka ya kitandani
Uarabuni hawabakwi?

Europe kuna ubakaji mwingi kuliko huku?

Acha kuendekeze genye hizo. Wewe binadamu mwenye utashi wa maamuzi sio mmbwa ikipanda utatafuta hadi carpet ujifute
 
kama sheria ya kuzuia kubaka ipo basi waweke na sheria ya kuzuia mtu anaeleta vishawishi vya kubakwa
Kama sheria ya kuua ipo, tuweke sheria juu ya wanaotukasirisha.
Ukinunua gari nikakasirika, ufungwe. Ama sivyo nitakuua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom