maruudaniel
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 888
- 1,075
Mku hiyo barua ninatakiwa waandikie nssf nao watanijibu au inakuwaje.Acheni kumpotosha jamaa Mimi mwenyewe ni muhanga wa hili suala mkataba wangu wa kazi uliisha 2016 lakini sikufatilia mafao yangu, Siku ya kufatilia ilibidi niandike barua ya kuomba kibali cha kufungua mafao. Barua yangu ilipooitishwa ndio nikafungua mafao na mpaka muda huu tunavyoongea tayari nimeshalipwa pesa yangu, Acheni kumpotosha jamaa.
Kwani mm nilipata ridandansi mwaka jana na makato yangu yote mwajiri ameshakamilisha.Sasa sijui ninaanzia wapi kwani kuna mtu aliniambia sinaweza nisilipwe fedha zote na mm sitaki kuajiriwa tena