Niandike maneno gani kwenye bango langu kuelekea Jangwani kesho?

Jk,achia ikulu slaa akupe uwaziri wa mambo ya nje uendeleze fani.
 
tafadhali wajf nisaidieni,nimeshanunua tambara kubwa tayari kwa kuandika ujumbe na kuanza safari kwa mguu toka tabata kimanga kuelekea jangwani for m4c hapo kesho,sasa naomba unisaijie ujumbe gani nitupie hapo bangoni?,nawasilisha

andika hivi: Kula ccm,kulala chadema,kuoga tlp, huduma nyinginezo cuf
 
andika .dr. Slaa NI LINI UTARUDISHA fedha zaid UNAZOTOZA CCBRT NA Mshahara wa mamilioni wa cdm chama chetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom